Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi.
Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia.
Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia?
Je mimi nitakua nakosea...