Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa...
MAOMBI YENYE KUBAHATISHA
kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na kulingana na hali alonayo.
Ni mara nyingi nimesikia, nimejionea na nimejaribu nami pia katika kuhakikisha...
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam
MUHIMU : Wahudhuriaji wanaombwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona
Nimerudi tena na hii hoja dhidi ya matumizi ya kiingereza kama Lugha ya kujifunzia.
Umewahi soma riwaya za kiingereza na kiswahili? Kama umewahi, utagundua kuwa utatumia muda mrefu sana kusoma riwaya ya kiingereza kuliko ya kiswahili. Riwaya ya kiswahili unayoweza kusoma kwa siku mbili, ikiwa...
Wanabodi,
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania katika mkutano wake Mkuu wa 77 uliofanyika makao makuu Kurasini kuanzia tarehe 21-25 Juni 2021 walifanya uchaguzi wa Viongozi watakaosimamia wa shughuli za baraza katika miaka mitatu ijayo kuanzia 2021 mpaka 2024
Baraza limemchagua...
Mama omba radhi Watanzania kauli yako ya kusubiri kwanza kufufua uchumi ndiyo turuhusu marekebisho ya katiba na mikutano ya kisiasa hii umechemka.
1. Utachukiwa kuliko hata JPM
2. Utapoteza heshima ya kuitwa mama
3. Utazalisha akina Sabaya na Makonda wengi kuliko JPM
4. Unaweza kuwa Rais wa...
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana.
Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba?
Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
Kama kuna dhambi wajumbe mtafanya ni kumrudishia tena madarakani Karia
TFF nabidi ibadilike bodi inafanya kazi kimazoea
Tufike wakati tuseme imetosha
Tuwe na viongozi wenye hekima na busara kuwatumikia wananchi
Operesheni haki ambayo ndio mpango mpya wa Chadema kwa sasa, wenye lengo la KIZALENDO la Kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Kati.
Freeman Mbowe na kikosi chake wanatarajiwa kuongoza kikao cha Kimkakati cha Kanda hiyo. Ikumbukwe kwamba Mwenyekiti...
Wasalauumu wakuu!!
Uzi huu nilianza kuuandaa wakati Mama Samia anaenda Kenya, lakini sikuweza kuumaliza kwa wakati, nimeamua niuweke kwa sasa, japo muktadha wa sasa haupo kuijadili Kenya, ila itabidi niuweke kwasababu kuna mambo ambayo yapo relevant sana.
Imekuwa ni kawaida sana hapa jamvini...
Karibuni jamani mchangie mawazo yenu kuhusu hii mada mtu anaweza akaendelea kuchukua boom Kama ameacha chuo lakini Bado hakufuta usajili wake katika chuo chake.
Naombeni mipango mikakati ya kuendelea kula tunda kwa X girlfriend, mkiwa mmeachana kwenye ugomvi mkubwa (assume yeye ndio alio-kuacha)... na hamuwasilini ila umemiss kumla mzigo
Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano.
Profesa Joyce Ndalichako amesema haya...
Kwenye upande wa watoto wa...
Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana.
Michezo, ni moja ya vitu vinavyowaliwaza watu kusahau magumu tunayokabiliana nayo katika maisha ya...
Wanangu hamjambo humu ugani? Leo nimeona bi mkubwa SSH alipohutubia mabunge ya Kenya maspika alikuwa wamevalia wigs. Je, kweli bado kuna haja ya waswahili kuvaa katani na kudai bado wako huru? Wanangu nisaidieni.
Pia hata majaji wa Kenya huvaa wigs. Kipindi cha Dr Willy Mutunga yalipigwa chini...
Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji.
Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10
Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end!
1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi!
2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass!
3. Aanze kuuza uji...
Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Ibrahim Samwix ameyazuia mabasi 35 kuendelea na safari kutokana na ubovu mbalimbali aliogundua kwenye magari hayo kabla ya safari
Magari hayo hayataruhusiwa hadi yataka tengenezwa kwa kuwa yalikuwa yanahatarisha maisha ya wasafiri
Wito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.