Habari za kutwa wanajamvi poleni na majukumu.
Leo naomba msaada kwa wale waliowahi au wanaendelea kutengeneza faida ya Tsh 30,000 na kuendelea kila siku.
Tafadhali zingatia kueleza yafuatayo:
1. Aina ya biashara
2. Mtaji unaotumia kuzalisha faida ya 30,000
Kumbuka waliofanikiwa sio wachoyo...