kuendesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zifahamu Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  2. Sababu Tano Kwanini Utumie Google Workspace Kuendesha Biashara Zako

    Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kushirikiana kwa urahisi, na kuokoa gharama, Google Workspace ni suluhisho...
  3. Kwanini hayati Magufuli alipenda kuendesha kesi akiwa njiani kwenye misafara yake?

    Wakuu salama… Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana. Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato. Angeweza kufika Singida na kusimama barabarani bila kujali anasababisha foleni kwa walipa kodi wanaotumia...
  4. Sijui kwanini ila most guys wenye majina haya huwa ni watundu sana, streetsmart, vicheche na wanapenda kuendesha crown/benz sedan

    Eddy Brian Jimmy Chris Junior
  5. McGara B pigania platforms za Energy Summit, achana na events za Kiswahili!

    1. Gara B achana na events za kujazana ujinga. Nyoosha kiingereza chako ingia dimba za kimataifa (level za Energy Summit). 2. Jifunze kwa moderators wa sessions za huu Mkutano. Kama kichwa si kizito, pambana platforms za kimataifa atatoboa.
  6. Je, unatumia mguu mmoja au yote miwili kuendesha gari automatic?

    Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na huo mwingine breki na klachi. Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na huo mwingine kwenye break. Au unaweza kutumia mguu mmoja...
  7. Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?

    Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
  8. Tanzania hatujawahi kuwa na Marais au Mawaziri ambao kabla ya madaraka waliwahi kuendesha mradi wowote na wakafanikiwa

    Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa. Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu. Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote...
  9. Wachina 17 Washutumiwa Kuendesha Mgodi Haramu wa Dhahabu Congo

    Wanaume 17, raia wa China wamekamatwa kwa tuhuma za kuendesha mgodi haramu wa dhahabu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mamlaka ilisema hapo Ijumaa, wakati serikali ikiendelea na msako mkali wa uchimbaji wa madini yake bila leseni. Wanaume hao waliletwa katika mkutano na waandishi wa...
  10. Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

    Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha...
  11. Naibu Waziri TAMISEMI apongeza watumishi wa TAMISEMI kwa kuendesha Uchaguzi kwa haki. Asema malalamiko ni kawaida

    Wakuu, Wiki chache baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Naibu Waziri Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI )Dkt. Festo Dugange amewapongeza watumishi wa TAMISEMI kwa kusimamia Uchaguzi vizuri Dugange amesema kuwa pamoja na malalamiko yaliyokuwepo...
  12. G

    Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

    taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio. Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
  13. Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  14. Serikali ya Zimbabwe yataka Whatsap Admins kupata leseni na kulipa ada ya laki moja ili kuendesha magroup ya Whatsap

    Wakuu, Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano ya Zimbabwe (POTRAZ). kwenye mkutano wa POTRAZ wa hivi karibuni...
  15. Ndoto ukisafari/ kuendesha chombo cha usafiri na tafsiri yake

    Ndoto ni dirisha ambalo unaweza kuchungulia na kuona nini kinachokuja mbele yako, au ni jambo gani ambalo limekuzunguka lakini hujatambua au hulioni katika fikra na macho yako. Sasa ni Mungu huleta picha/ video kukuonesha ukiwa wewe ni mmoja wa wahusika wa matukio. Unahitaji kujua nini unapewa...
  16. Mwamposa awasili Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga Muigizaji Grace Mapunda (Tessa)

    Mtumishi wa Mungu Boniface Bulldozer Mwamposa alivyowasili viwanja vya Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu Grace Mapunda #RIPGraceMapunda Soma: Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia
  17. CCM imefaulu na kuendesha mambo yake KIDIGITAL

    Leo nimeamshwa na ujumbe mfupi wa maneno kwenye kitochi nokia changu. Ujumbe kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM taifa na timu yake. Ujumbe ulionikumbusha: Ndugu COMTE namba yako ya uanacham ni CXXXXXXX. Shiriki kura ya maoni tar. 23/10/2024 katika mkutano wa tawi ili umchague mgombea wa CCM atakae...
  18. H

    Mwaka Mmoja wa Kuendesha Startup: SmartBusiness – Changamoto na Mafanikio

    Mwaka mmoja uliopita, nilianzisha program ya SmartBusiness kwa lengo moja kuu: kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) barani Afrika kuboresha usimamizi biashara zao na kuwawezesha kufanya maamuzi yatokanayo na taarifa sahihi za mwenendo wa biashara zao. Niliona changamoto nyingi...
  19. Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  20. Je kuna Solar Inaweza kuendesha Freezer?

    Wataalamu/wazoefu naomba kujua hii kitu inawezekana? Au kuna njia nyingne ya kuendesha freezer nje ya umeme? Kuna sehemu nataka niweka banda la chuma yale ya kuhamishika kwa biashara, nahitaji kuweka fridge(SIO FREEZER) ya 340 ltr, umeme kuufikisha ni kipengele... Je naweza funga Solar power...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…