Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwanza pole na majukumu makubwa ya kuongoza taifa hili, au nchi hii na bila shaka umethibitisha kwamba nchi hii ni ngumu.
Moja ya mambo mazito yanoisumbua nchi hii ni uwajibikaji na baadhi ya wananchi kupenda kupata bila jasho au kupiga kama ambavyo...
Zamani kuna historia kuwa Mobutu alipoona uchumi unaenda hovyo akaajili mbobezi kutoka Ulaya kuwa gavana wa benki kuu.
Jamaa akaja na mipango mizuri sana ya kuokoa uchumi. lakini alikuta vikwazo kibao, Mobutu alikuwa anaifanya benki kuu kama kibubu chake.
Wakashindwana jamaa akasepa. Mkapa...
Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni...
Kumekuwa na tabia watangazaji wa vipindi vya redio Clouds na E.fm kuchezesha kamari katika kila vipindi.
Kwa nyakati tofauti watangazaji hao wamekuwa wanawashawishi wasikilizaji wao wawe mamilionea kwa kuwaambia watume pesa kwa namba wanazozitaja huku wakitaja dau.
Mwisho wa vipindi huwapigia...
Taliban na mbwembwe zote zile Sasa hv wanamlilia Tena US awasaidie kuendesha nchi. Saudia kanyuti Kama hawajui
=======
Taliban took Afghanistan but face cash squeeze
By JOSH BOAK
WASHINGTON (AP) — The Taliban face a frontal challenge in cementing control of Afghanistan: Money...
Hapo zamani, TAASISI au COMPANY zilikuwa zinatumia mifumo(systems) nyingi (zaidi ya mmoja) katika kuratibu shughuli za kila siku. Kwa Mfano Taasisi au Kampuni moja yenye departments tano(5) (Finance, Human resources, Sales, Marketing, Procurement e.t.c) lazima iwe na mifumo(systems) tano(5)...
Serikali imekusanya tozo ikatuambia kiasi kimefikia bilioni 48. Ni mwanzo mzuri. Lakini kilichonishtua ni namna zinavyokwenda kutumika; inauma Sana.
Matumizi yake katika ujenzi wa shule na zahanati yameelezwa yatajikita kwenye mfumo wa force account, naamini hapa ndipo tatizo la kupanga na...
Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.
Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
Habari za kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na watendaji wengine wa Chama huko Mwanza zinashangaza sana
Watanzania wanajiuliza Rais Samia anajaribu kuiga au kumuiga Magufuli?
Maswali yamekuwa mengi kwani hana leadership style ya kwake ya kufanya kazi?
Kwani zile ahadi alizotoa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.