Kuna jirani yangu alipora kipande cha ardhi yangu kwa kuwa sikuwepo kwa muda wa miaka 4 pale nyumbani. Niliporudi na kuona hivyo, nilifungua kesi katika Baraza la Kata.
Baraza lilifika kuangalia eneo husika linalogombaniwa ikiwa ni pamoja na mashahidi wa pande zote mbili kutoa ushahidi wao...
Habari za pilika Na majukum.. Kuna kitu Naomba kufahamu kutoka kwenu wakuu.... Hususan waliosoma chuo cha NIT.. au ambao bado wanasoma..
Nina mdg angu anasoma pale NIT ila hadi leo analalamika hajaingiziwa hela ya boom
Wakat kwa madai yake ilitakiw apewe mwez Huu mwanzon (November)...
Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji.
Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa.
Bei zimekuwa zikipaa kila leo bila kushuka imepelekea walaji kupunguza manunuzi na hivyo biashara...
Mshana Jr Rakim msaada wenu hapo naomba kujua hayo mawe yanafanya vipi kazi katika ulimwengu ule usioonekana
pia naomba kujua kuhusu mafuta ya essential kama lavenda au ylang-ylang
Salam sio lazima!
Ndugu wanabodi,
Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni...
Nawasalim kwa jina la TZ.
Naomba kufahamishwa jinsi ya kuipika,ama kuiandaa kwa ajili ya kula nyama ya kopo.
Ninapoenda supermarket hua naiona sana nyama hii ya kopo,natamani kuinunua,lkn sijui kuiandaa kwa ajili ya kula,ama kuipika maana najua tayari hua imekwisha kupikwa.
Je ninaiandaaje kwa...
Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima.
Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu.
Nimeshangazwa kusoma kwamba hayana mbegu. Ni kweli ndivyo yalivyo? Yana uhusiano wowote na GMO...
WAkuu habari za usiku huu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa.
Mbali na hilo naomba kufahamishwa mchanganyiko mzuri wa juisi inayopendwa na nzuri kwa ajili ya...
Salaam.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba mwenye kujua ofisi za hawa jamaa wanaitwa Selcom malipo mtandaoni.
Mnamo tarehe 01 November nilipita kituo cha mafuta cha Puma pale posta kuweka mafuta bahati mbaya sikuwa na cash hivyo nikaona kuna njia ya kulipia kwa simu...
Habari za maisha wakuu,
Natamani nipate andiko ambalo limeorodhesha taasisi zote za serikali na binafsi, wakala, mamlaka, NGO'S Na vyama ili nijue dhima yake Na mambo inayosimamia.
Nimechungulia kayika tovuti kuu ya serikali lakini naona inapwaya information ilizonazo hazijitoshelezi ofisi...
Ni muda sasa baada ya kusikia kuhusu vifaa hivi vya umeme (kuchaji)....Hivyo ninauhitaji navyo lakini ni bora kufahamu kuhusu vipengele hivi...
1:- Je baiskeli za umeme zipo tz na zinapatikana wapi dar au nyanda za kusini..
2:- Kama zipo kampuni gani ni bora na imara...?.
3:- Gharama zake...
Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki
Natanguliza shukurani.
Habari za wakati huu my virtual family JF
Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance
Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
Wadau habari zenu,
Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia
- Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani
- Changamoto zake (japo hakuna Biashara inayokosa changamoto ila NI Bora kujua japo kwa uchache)
- Kama Kuna ubora...
Mfano mtu alioa mke akazaa watoto na mke wa kwanza na kwenye uhai wao wakapata na Mali ,then baadaye mke wa kwanza akafa ,na mume akaoa mke wa pili Kisha baadae huyu mume anafariki je kwenye mirath Ni Nani anafaidika na kilichobakia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.