kufahamishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lanlady

    Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

    Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua. Je, inamaanisha nini?
  2. D

    Naomba kufahamishwa kuhusu bachelor degree ya Education in Earlychildhood

    Habari za muda huu wanajamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu. Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL. Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii. Ahsanteni.
  3. Michael mbano

    Degree tatu huwa zinakuwaje?

    Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu? Nasubiri
  4. Lanlady

    Naomba kufahamishwa, utamaduni wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa viongozi waliokwishafariki ulianzia wapi?

    Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa...
  5. Fohadi

    Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  6. FRANCIS DA DON

    Naomba kufahamishwa machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi

    Kwa wanaofahamu machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi, hasa hasa nondo. Maana si tumeamua kukomoana, wacha tutafute alternative. Pia na mabati, kama kuna anaefahamu hayo machimbo, najua yapo, maana huwa nasikiaga sikiaga watu wakinunua kwa bei ya kuokota.
  7. gfsonwin

    Naomba kufahamishwa

    Wanajamvi habari za j2! Ninaomba kujuzwa, hivi inawezekana Kwa wenzetu walioko nje ya nchi yaan wanaoishi ughaibuni mtu akafariki ndg zake huku Tz wasijue? Najua wapo ambao tunawaombeaga michango ya kusafirishwa lakini je wapo ambao hatuambiwagi kabisa habari zao? Kama wapo miili ama maiti zao...
  8. luangalila

    Naomba kufahamishwa vitasa vizuri vya kufunga katika milango

    Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
  9. ngotho

    Naomba kufahamishwa juu ya verification of application

    Wakuu habarini za saa hizi. Husika na mada tajwa hapo juu... Mimi ni miongoni mwa walioomba mkopo, lakini kuna swala linanitaniza kidogo.. Juzi siku ya Jumatatu, nilipokuwa natembelea GOOGLE, kitu cha kwanza nilichokutana nacho kilikuwa kinasema hivi.. (YOUR APPLICATION FORM WAS VERIFIED AND...
  10. sungura23

    Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Habari wakuu? Natumaini wote ni wazima. Wakuu naomba kwa mwenye kufahamu taratibu za kukomboa (to claim) mafao ya NSSF iwapo mtu ulikuwa unafanya kazi na mwajiri alikuwa akipeleka michango. Mwaka 2017 hadi 2019 nilipata fursa ya kufanya kazi kwenye sekta ya masuala ya hospitality. Mwajiri...
  11. Mkazamoyo

    Naomba kufahamishwa vigezo vya kupanga timu (standings)

    Wakuu kuuliza si ujinga je ni vigezo gani hutumiwa na hizi app zinazoenesha livescore (sanasana flashscore) kupanga msimamo wa ligi pale timu zinapokuwa hazijacheza hata raundi moja Yaani zote zina game played 0 na point0? Niimeuliza hivi baada ya kuona msimamo wa ligi yetu kwa msimu mpya ujao...
  12. Fohadi

    Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  13. S

    Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya NECTA

    Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya necta kama ifuatavyo: Vyuo: 1. Nini maana ya DSEE, GATCE, na GATSCCE? Matokeo: 2. Nini maana ya distinction na credits. Na nini hatima ya waliopata distinction na credit? 3. Pass inaanzia pointi...
  14. mwilawi

    Naomba kufahamishwa

    Naomba kujua hivi ni nini hasa kilichosababisha Manji kuacha kuifadhili yanga. Maana kama hakuwepo nchini sio sababu yenye mashiko. Najaribu kutafakari na sipati majibu maana aliiacha yanga ilihali akijua ilikuwa bado iko vibaya kiuchumi KWA LUGHA NYINGINE NI KAMA KUACHA KUMSAIDIA MTU AMBAE...
  15. Erythrocyte

    Naomba kufahamishwa wasifu wa Mhe. Thomas Simba, Hakimu wa Mahakama ya Kisutu

    Si vibaya na wala haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa Mtumishi wa Umma, hasa yule anayegusa maslahi ya watu wengi kwa kuhakikisha haki zao zinapatikana. Binafsi namfahamu kidogo tu kama Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu, ameshiriki kwenye kuamua kesi kadhaa za wanasiasa...
  16. Masinki

    Hodi Wana Tabora, naomba kufahamishwa kuhusiana na Mkoa huu hususani Tabora DC

    Baada ya ufafanuzi mzuri na ushirikiano kutoka kwa baadhi ya Wana Singida leo ni zamu yenu Wana Tabora(mboka Manyema)!!!haswa Tabora Manispaa Maswali yangu ninayoomba kujua ni kuhusiana na Mkoa wa Tabora especially Tabora Dc hali ya maisha,kipato Cha wananchi,mitaa mizuri yakuishi,Nyumba za...
  17. Masinki

    Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

    Wadau habari za weekend! Naomba wenyeji ama yeyote mwenye ufahamu na mkoa wa Singida hususani wilaya Singida Dc anifahamishe yafuatayo. 1. Maisha ya pale kwa ujumla eg nyumba za kupanga kiasi gani, chakula, upatikanaji wa maji, hospitali, kabila gani wako pale ambao ni popular. 2...
  18. Chomo

    Msaada: Naomba kufahamishwa kiwango cha makato ya ATM card benki ya NMB

    Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi. Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne...
  19. U

    Naomba kufahamishwa

    Habari za weend mabibi na mabwana! Hivi kuna wanaume wanaojiuza au kutoa huduma kama wanazotoa wanawake makahaba?? Yani nao wanajipanga kama kawa kuonesha ushindani wa viungo vyao ama inakuaje?? Vipi mwanamke ukihitaji wa kukukojoza na kukutoa nyegekwa muda then kilamtu nazake wapo?? Naomba kujuzwa
  20. Z

    Nahitaji kufahamishwa kuhusu 'tank' la kuhifadhia maji

    Ndugu wana jamii forum. Naomba mwenye uzoefu wa tank zuri la kuhifadhia maji (Domestic use ) anielezee hapa nayaona mengi kama vile. Kiboko, Simtank NK.
Back
Top Bottom