Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi.
Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza.
Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho...
Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini.
Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji.
Wasanii Wameonekana kutokua...
Nyanja: Kilimo
Andiko hili linapendekeza kwmb ili kuleta mapinduzi makubwa ya sekta ya kilimo yatayoendana na muda waDira ya Taifa 2025; sekta ambayo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi ambao kw mantiki hiyo basi Dira hiyo inaitegemea ili kuliingiza taifa ktk pato la kati-la-juu. Kimsingi ni ukweli...
Moja ya tafiti ambazo zimefanywa na baadhi ya watu waliofanikiwa duniani iligundua kuwa watu wengi sana duniani wanashindwa kufikia MALENGO na NDOTO walizonazo kwa sababu zifuatazo;-
1: Watu wengi uweka MALENGO ambayo hayajausanishwa na kile wanachokifanya kila siku inaweza kuwa biashara na...
Habari wadau!
Jana nimeweza kulipa kodi ya jengo kupitia simu ya mkononi baada ya kununua umeme kupitia luku yangu.
Binafsi naipongeza sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia rais Samia Hassan,pongezi za kipekee ziende kwa waziri wa fadha Dr Mwigulu Lamack Nchemba Madelu...
Rais Samia alihudhuria mkutano wa SADC juzi huko Zimbabwe??? Najiuliza, Hivi SADC has it ever accomplished anything material beneficial to its suffering populations? Mwenye kufahamu anipe mifano ya mafanikio ambayo yametokana na kusanyiko hili kwa masikini wa nchi zao.
Au ni mkusanyiko wa...
Rais Samia alihudhuria mkutano wa SADC juzi huko Zimbabwe??? Najiuliza, Hivi SADC has it ever accomplished anything material beneficial to its suffering populations? Mwenye kufahamu anipe mifano ya mafanikio ambayo yametokana na kusanyiko hili kwa masikini wa nchi zao.
Au ni mkusanyiko wa...
Habari
Tumefanikiwa kufungua kituo cha Tuition maeneo ya Charambe Majimatitu, mwezi ujao tunafanya programu ya Pre-Form One kwa wanaomaliza darasa la saba.
Tumefanikiwa kuweka matangazo ya kitambaa na karatasi.
Cost zilizobaki
A) kwenda mashuleni (shule 5).
B) Vipeperushi & T-shirt
C)...
Sabaya analaumiwa na wananchi namna alivyokuwa akitumia mbinu za kubambikizia watu makosa ya uongo ili apate anachokitaka.
Wakati mwingine alikuwa tayari hata kublackmail watu kwa kuwapandikizia madawa ya kulevya ili awatoze pesa.
Samia alivyoingia madarakani, tulimuona kama Mtenda haki...
Wakuu nawasalimu kwa jina la mwenyezi Mungu (Allah). Kijana na mtoto wenu nimeamua kuanza ku-save(kutunza) fedha at least kwa mwezi 200,000 ili kwa miaka 4 nipate ka fedha ka kununua usafiri.
Ushauri ninaoomba ni je, nitawezaje kulifanikisha hili kwa ufanisi?
Najua humu kuna wakubwa zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.