kufanya biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
  2. Ni kosa kufanya biashara ya usafirishaji pesa?

    Baada Gharama mpya za kutuma na kutoa pesa zikianza kutumika, mtu akaanzisha biashara ya kusafirisha pesa kwa boda, let say kuipeleka 1m toka kinyerezi mpaka Kariakoo ni 10k. Hivi linaweza kuwa kosa kisheria? 😀
  3. Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali inazitoza kodi taasisi za dini zinazotoa huduma za afya na elimu kwa sababu baadhi zinafanya biashara na si kutoa huduma. Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 wakatia akifungua mkutano mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…