kufanya kazi kwa bidii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huu ukakasi umenikumbusha huu msemo: "Nilipokuwa mtoto nilikuwa masikini ila baada ya muda mrefu wa kufanya kazi kwa bidii mimi sio mtoto tena"

    Maisha yamekuwa corrupted, njia zimekuwa reshaped, yani kila hatua ya uthubutu na ueledi unachoambulia kufuga ndevu na mzunguko wa kifedha ambao ukipata tsh 10,000 muda sio mrefu unarudi kuwa tsh 0 ulio kuwa nayo Ofcourse maisha hayajawai kuwa marahisi, ila maisha ya bongo haya faidishi tena...
  2. JamiiForums Tanzania Sidhani kama bado kuna watu wanaamini tena eti kufanya kazi kwa bidii pekee huleta maisha bora

    Kuna wakati bidii iliheshimika, ilikuwa valued katika level ya dhahabu na almasi. Kuna wakati bidii ilikuletea tumaini la kubadirisha maisha na hakika baada ya muda fulani bidii ilikufanya ufurahie kile maisha ilicho ki-offer. Baada ya dunia kupitia recession, gharama za maisha kuwa corrupted...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wamshukuru Rais Samia kwa kupandisha mshahara 'tataenda kufanya kazi kwa bidii'

    Baadhi ya Wafanyakazi nchini wametoa pongezi na shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuthibitisha tena kuwa anawajali watumishi wa umma. Katika kilele cha sherehe za Mei Mosi 2025 zilizofanyika uwanja wa Bombadia mkoani Singida, Rais Samia...
  4. JamiiForums Tanzania Unampaje mtu utajiri huku wewe ukiunguza maini na kuharibu figo zako?

    Je hii inaingia akilini? Sijaona na sitoona faida ya pombe kabisa. Nimekaa na kutafakari kwa kina kwamba yani mimi ninunue pombe haswa hizi kali niharibu maini na figo ili nimtajirishe mmiliki na mtengenezaji wa hizo pombe? Ndugu zangu haswa wakati huu ambao tunaelekea kwenye sikukuu za...
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna furaha ya kweli anayoipata masikini, umasikini ni nyumba ya huzuni

    Kila hatua unayopiga kwenye maisha ipime kwa kuangalia ulikotoka. jiulize jana na juzi nilikuwa wapi leo niko wapi, majibu yake yatakupa taswira kama unapiga hatua au unarudi nyuma. Wapo wengi ambao hupima mafanikio yao katika nyanja moja tu ya maisha "hali ya kiuchumi" pasipo kuangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…