Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Kuna wakati bidii iliheshimika, ilikuwa valued katika level ya dhahabu na almasi.
Kuna wakati bidii ilikuletea tumaini la kubadirisha maisha na hakika baada ya muda fulani bidii ilikufanya ufurahie kile maisha ilicho ki-offer.
Baada ya dunia kupitia recession, gharama za maisha kuwa corrupted, rasilimali muhimu kuwekwa chini ya vikundi vichache maalum, baada ya soko la ajira kuwa siasa-fied, umuhimu wa mtu kuwa substitute ya teknolojia, uchawa kuwa glorified, makalio makubwa kuzidi akili etc imepelekea juhudi kuwa kituko duniani.
Maisha bora tena hayako guaranteed na ubidii au unyenyekevu wako ila pale utakapobahatika kula samahani moja na waendesha usukani.
++JASUSI COHEN++