Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,598
- 6,147
Hawa wote ulio wataja, wapo ndani ya mfumo (wana mfumo wao)Ukiacha Mafisadi, Hakuna Mwenye mafanikio asie kua na bidii, HAYUPO.
Angalia Field zote za Maisha Utakuata watu wote walio fanikiwa kwenye field zao wana bidii sana ya wanacho kifanya.
Mimi nakutajia Baadhi ya wanotembea/Walio tembea na bidii
1.Millard ayo
2.Diamond
3.Lissu
4.Mo dewji
5.JPM