Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,053
Hivi, MAFANIKIO ni nini?
Je, ili tuseme mtu fulani kafanikiwa au mtu fulani hajafanikiwa, hapo kipimo ni kipi?
Je, definition ya mafanikio ni moja kwa watu wote dunia nzima? 🤔
Binafsi naona, ingependeza kama ingeanza kwa "ku-define" hilo neno MAFANIKIO kwanza.
Mafanikio ni nini? 🤔
unaweza kuona mtu fulani kafanikiwa, lakini yeye mwenyewe akajiona bado hajafanikiwa.