Na Eva Valerian na Asia Singano
Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ili kuboresha huduma za fedha na kuleta maendeleo ya kiuchumi hapa nchini.
Hayo yalisemwa na Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendelezaji wa...
Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding)
kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!?
Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali.
Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa...
TAMISEMI aidha uwe muadilifu wa kiwango cha SGR ili ustaafu salama au uwe na tamaa za kula vizuri, kupata usafiri bora na kupeleka watoto private school ili uishie jela.
TAMISEMI hata ukiiba elfu 50 jiandae kufukuzwa kazi au kufungwa.
TAMISEMI ukifanya kazi kuwa makini, unaweza kuingizwa...
Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa vijana wa kitanzania kuwa na uadilifu na kujituma wanapopata ajira viwandani ili waendelee kunufaika kwa pamoja na...
Hello wanajukwaa,
Kichwa cha habari chahusika. Mining industry.
Ninapenda sana kazi za migodini, at management level.
Shauku yangu na ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya big/giant investors (foreigners or local) nchini Tanzania, specifically...
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa kutegemeana na kushirikiana bila kutengeneza makundi.
Ametoa rai hiyo Mkoani...
Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya...
Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA".
Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa...
Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara.
Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya kazi za ndani hasa juma mosi na jumapili ambapo siendi kazini.
Leo niliamka saa kumi na moja...
Hello!
Ndio hivyo wazee, kama umejiajiri fanya kazi kwa bidii maana biashara ikifilisika na wewe umefilisika automatically bila kipingamizi.
Ila kama umeajiriwa neno bidii halikuhusu, kumbuka kuwa kama ulijaza mkataba wa kuanza kazi ni vyema ujue kuna mkataba wa kumaliza kazi.
Watu wengi...
Habari wana JF,
Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata.
Ajira...
Yeye mwenyewe anatuambia kuwa POSTA MASTA aliyekuwapo anafanya kazi nzuri sana. Macris Mbodo ameifanya Tanzania Posts Corporation kuwa mbele kuliko mashirika ya Posta yaliyo mengi katika bara la Afrika. Na kwa kutambua hilo yuko masomoni kujinoa ili afanye vizuri zaidi. Huku nyuma anatuletea...
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.