Hello,
Kuna ile situation unajikuta tu tayari kishaumana na mtu ambae hukumhisia kuwa na tabia za kikubwa may be kutokana na cheo/wadhifa ama umri alionao [emoji4][emoji4] Yaani ambaye ulidhani hata kama mngefungiwa chumba kimoja usiku kucha kisingetokea kitu. Au mtu ambae kutokana na status...
Je ni kweli kwamba Mwanaume huwa hachagui mwanamke wa kufanya nae Mapenzi na Mwanamke anafanya Mapenzi na Mwanaume anayempenda?
Lakini mambo ni tofauti linapokuja swala la ndoa. Mwanaume akitaka kuoa anaoa mwanamke anaye mtaka tofauti na Mwanamke yeye anaolewa na Mwanaume anayempata...
Kila siku naota ndoto nafanya mapenzi na wadada mbalimbali naowafahamu, licha yq kuwa nimeoa mke mzuri tu na nafanya nae mapenzi mara 4 kwa wiki.
Je, hii shida nini chanzo chake na matibabu yake ni yapi.
Naomba kuwasilisha kwenu na mnisaidie.
Habarini,
Tangu mwanzo nilipomtoa bikra, its one year and a half. Tunapofanya romance naye kabla ya sex (kushikana, kissing) anapata hisia kubwa tu, lakini tunapofanya penetration mara nyingi (sio mara zote) tukimaliza ananiambia huwa hapati hisia yoyote au ya kutosha.
Nikimuuliza kuwa awe...
Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa kwenye anga la Las Vegas wakiwa kwenye ndege za kampuni hiyo.
Kwa mujibu wa Kampuni ya Love Cloud, huduma hiyo itachukua dakika 45 ambapo wapenzi wanaoshiriki tendo la...
Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili.
Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia.
Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini.
Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku.
Mmoja...
Leo nimekaa sehemu, ghafla akapita kichaa mara acheke cheke, aokote vipande vya mkaa na kuchora visivyoeleweka kwenye ukuta, n.k kiufupi akili haijakaa sawa, sasa nikawa najiuliza haya maswali.
a) Je, wana hisia za kuweza kumpenda mtu kimapenzii?
b) Je, wana uwezo wa kushiriki kufanya...
Katika hoja hii natamani wajuzi katika sekta ya afya waje watupe majibu zaidi.
Lakini kwa uelewa wangu, ni vyema waume zetu wakaendelea kufanya mapenzi nasi tukiwa na ujauzito.
Mimi sio mtaalamu sana lakini nina hakika na sababu mbili:
1. Inatusaidia kwenye kuongeza kujiamini kwa sababu ukiwa...
Nitoe mfano mdogo tu kwangu mimi.
"hapa nyumbani shemeji yenu naishi nae vizuri tu lakini kuna swala hili moja, kuna kipindi nikimuhitaji kimapenzi yuko huru kuniomba excuse kama siku hiyo hatokuwa tayari kwa sababu mbali mbali inaweza kuwa kuchoka au kutokuwa na hamu tu.
Lakini ikija kwangu...
Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi, jambo ambalo ni ngumu kwa mwanamke.
Mwanamke akiishi zaidi ya miezi mwili, ataanza kuongea mambo yasiyo eleweka (Pumba) na kucheka cheka mara kwa mara.
Aidha, upo uwezekano mkubwa wa kupata madhara ya kiakili.
Kisa hiki ni cha kweli kilinitokea nikiwa safarini kuelekea shuleni.
Hadi namaliza masomo yangu ya O-level sikuwa nimewahi kusikia shule inayoitwa Ihungo ambayo ndiyo hiyo niliyochaguliwa kujiunga na masomo ya A - level. Shule hiyo ipo mkoani Kagera.
Baada ya kupata joining instruction...
Kwanza nitie msisitizo nguvu bado ninazo na moto napeleka fresh tu.
Nina miaka 32, Nmeajiriwa serikalini, Mshahara 2.x take home, ni mfanyabiashara pia, nina mke na watoto wawili wa kiume, Hivi karibuni nmekuwa mdau sana wa maendeleo.
Tatizo ni kwamba, zamani nilikuwa napenda sana kufanya hii...
Aisee, Dunia ina mambo.
Wiki iliyopita Jumamosi mtaani kwetu mida ya saa 7 usiku, gari ya polisi ilisimama wakaweka roadblock kuwakamata wazururaji. Ukikamatwa unakaguliwa, unajieleza kama maelezo hayatoshelezi unapigwa pingu ukaeleze zaidi kituoni
Na mgambo wakawa wanazagaa sehem tofaut...
Kuna msemo maarufu kuwa "binamu nyama ya hamu" ijapokuwa haijahalalishwa ila kuna matukio tu mengi ya watu kutembea na binamu zao au ndugu zao either kwa bahati mbaya au mazingira tu!! Binafsi yangu nimewahi kuwatafuna kama wawili
1. Huyu wa kwanza nilikuwa O-level form 3 home kwetu katika...
Hivi kwanini wanaume wakati wa ku-sex wanapenda kuangalia machoni. Wanakuwa wanafanya huku wanaangalia mwanamke machoni direct, hawaangalii pembeni. Halafu wakiwa wanafanya hivyo wanaongeza na speed ya ku sex. Kwanini huwa mnapenda kuangalia machoni?
Kuna sababu gani ya kufanya hivi?
1.Usaliti nchini China inaruhusiwa kwa mwanamke aliyesalitiwa na mume wake kumuua mume wake,lakini sharti amuue kwa mkono wake
2.Kwa sheria za Nervada ni kosa kubwa sana kisheria kama utakutwa una urembo wowote katika uume wako(mwanaume)
3.In Bahrain,daktari wa kiume anaruhusiwa kumtibu...
Sabalkheri wana JF wenzangu. Natumaini wote mlikuwa na wikiendi njema kabisa na mmeamka Jumatatu hii wenye nishati nyingi za kutosha kuweza kuendeleza libeneke la kusukuma gurudumu la maendeleo la hii nchi yetu pendwa.
Baada ya takribani miaka minne na nusu hatimaye Jumamosi hii iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.