Kuna aina ya watu wapo ndani muda mwingi na maisha yao yanaenda kuanzia kula, kuvaa na maendeleo mengine. Ni kundi la aina ya watu ambao huishangaza jamii kwasababu ni kinyume na ilivyozoeleka watu kuamka asubuhi kwenda kwenye shughuli zao kujipatia ridhiki, Nchi yetu imekumbwa na stereotype ya...