GE2025 Serikali yawataka watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani Oktoba 30

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Msigwa amewatangazia Watumishi wote wa Umma kutotoka nyumbani kesho

IMG_8595.jpeg
 
Msigwa amewatangazia Watumishi wote wa Umma kutotoka nyumbani kesho

View attachment 3496007
This is silly..wafanyie kazi nyumbani kwa intaneti ipi? Na kwanini wafanyie majumbani na kama hawana vifaa vya kufanyia kazi? Ni bora wangesema kesho imetangazwa kuwa siku ya mapumziko kuliko hili...

Katibu Mkuu kiongozi aliyekuwa Rais yuko wapi kwanini asizungumze na wananchi?
 
Aluta continua
 
Attachments

  • Screenshot_20251029_214158_X.jpg
    Screenshot_20251029_214158_X.jpg
    68.6 KB · Views: 29
This is silly..wafanyie kazi nyumbani kwa intaneti ipi? Na kwanini wafanyie majumbani na kama hawana vifaa vya kufanyia kazi? Ni bora wangesema kesho imetangazwa kuwa siku ya mapumziko kuliko hili...

Katibu Mkuu kiongozi aliyekuwa Rais yuko wapi kwanini asizungumze na wananchi?
Hahahaaa daah. Kweli kabisa aisee.

Hata akili hawana. Wana kiwewe tu sasa hivi.
 
Back
Top Bottom