GE2025 Serikali yawataka watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani Oktoba 30

GE2025 Serikali yawataka watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani Oktoba 30

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kweli. Mimi nilikuwa nawaangalia tu. Na nilikuwa naomba sana maandamano yafanyike na wananchi waweze kuwa na ujasiri huo.
Lakini binafsi sioni sababu ya kuwazodoa na kuwashushua; kama ni kufurahia ukombozi wa nchi yetu, acha sote tufurahie hilo kwa wakati huu.. Hili pekee ndilo la muhimu. sasa hivi kabla ya kushughulikia ni vipi tutakwenda mbele baada ya hapa.. Mchango wa kila mmoja wetu ni muhimu.
 
Back
Top Bottom