Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imetangaza ratiba ya uchaguzi wa viongozi pamoja na Mkutano Mkuu wa Mwaka 2026, kwa mujibu wa Katiba ya klabu hiyo ya mwaka 2018 (Toleo la 2026).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Oktoba 26, 2026, uchaguzi wa viongozi wa klabu hiyo utafanyika Januari 3...