Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Venezuela!
Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran.
Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu.
Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri.
Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake
Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie.
Tumechoka.
Habari za leo wana JF
Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi.
Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya.
Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
Inakuwaje wanajamvi.
Ulaya hasa skendinevia uhakika wa kufikisha miaka 60 upo kabisa labda wewe mwenyewe uamue kujiua lakini ukiamua tu aaah mbona unagonga sikste tu kiulaini. Baada ya 60 hapo sasa ndio stress za kukacha mazimaa zinakujia
Mimi sasa hivi na 32 years bado nina uhakika wa miaka...
After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday.
Queues were still long at the Nairobi Railways Central Station Thursday evening as families heading to the village for festivities booked tickets.
“The...
Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani,
Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa.
Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
WANANCHI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUWAFIKISHIA MAWASILIANO YA REDIO NA SIMU
Wananchi wa Wilaya ya Muleba wameiomba Serikali kuwafikishia huduma za mawasiliano ya redio na simu wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew wilayani humo...
Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana.
Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana.
Hata hivyo nina...
Habari za usiku wapendwa katika bwana.
Leo nimepatwa na ajali iliyosababishwa na dereva wa JW aliyekuwa akiendesha gari aina ya hiace ndogo ivi yenye namba 1834 maeneo ya Ofisi za jiji Mwanza.
Nikiwa natokea maeneo ya maji haouse nikiendesha ki TVS changu, nilipofika yalipomataa pale maeneo ya...
JINSI YA KUFIKISHA VIFARANGA 1000 WA KUKU WA ASILI
Habari ndugu zangu wafugaji pole na majukumu ya kila siku katika harakatu za kutafuta mafanikio
Leo nimeona ni vema kushare na nyinyi jinsi mfugaji unavyoweza kufanikiwa kufikisha vifaranga 1000 ndani ya mwaka mmoja na nusu kwa kuanza na kuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.