Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu:
Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao.
Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
Kampuni ya META imeshinda kesi iliyofunguliwa mwaka 2019 iliyokuwa ikiituhumu kampuni ya NSO Group ya Israel kutumia Programu yake ya 'Pegasus' kudukua mawasiliano ya Watumiaji wa Mtandao wa WhatsApp.
Uamuzi wa Mahakama umetokana na kubaini kuwa NSO ilikiuka Sheria za Mkataba wa Ulinzi wa...
Kusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii, tunahitaji kuchekeshwa sasa.
Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu...
Aslaam,
Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA?
Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank, lakini nataka nimtumie kijana wakati mi mwenyewe nikiwa kwenye shughuli zingine za kujiongezea kipato...
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.
Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti.
Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri!
Kenya kwenye burudani kama mpira na...
Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi.
Kinachoendela sasa Amri ya serikali kufuta baadhi ya vijiji kata kinatoa tafakari mpya juu ya viongozi wetu dhidi ya maazimio yao ya...
Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi mtowa taarifa halafu taarifa yenyewe pumba tupu.
Hivi spika haoni kumkarisha mtu chini wakati alikuwa...
Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD.
Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
Wasaalam.
Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25.
Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu kuifikia jamii kwa kina kuhusu kupambana na kutokomeza ukatili wa kijinsia na kudhibiti mmomonyoko wa...
JINA LA MFUMO: JAMII SALAMA (JASA)
UTANGULIZI.
Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na makundi maalumu inakabiliwa na ukosefu wa mfumo bora wa kupata na kufuatilia taarifa za kijamii zinazohusu matukio mbalimbali ambayo yapo kinyume na sheria kitu kinachopelekea watu wengi kufanyiwa...
Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini?
Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini?
Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini?
Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali yanayowahusu makolo, Simbilizi, mbumbumbu au ukipenda waite mazumbukuku academy !!
Kuwa shabiki wa makolo ni...
Hiki kizazi cha watoto wa 2000s kama kinavyoitwa licha ya kwamba sio watoto ila imezoeleka kuitwa hivyo nami wacha nitumie hivyo ili kueleweka zaidi.
Hiki kizazi kwa kweli kinasikitisha sana katika kujikita kufuatilia mambo ya msingi. Ni ngumu sana kutofautisha msomi wa chuo kikuu wa hiki...
Shallom wakuu.
Kutokana na maendeleo ya ukuaji wa sayans na teknolokojia zipo njia mbalimbal za kuzuia uhalifu nyumban kwako au eneo lako la biashara.
Tumekuletea camera nzuri unayoweza kutumia kwa kuinstall nyumban kwako kwa Bei nafuu Sana.
Camera hizi ni ndogo Sana ambazo sirahisi kwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.