Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 (jina tunalihifadhi kwa sasa) ambaye inaaelezwa kuwa ana changamoto ya matatizo ya akili amelawitiwa na Wanaume watano.
Tukio hilo limetokea Katika Wilaya ya Hai katika Kata ya Machame, Narumu Mkoani Kilimanjaro limezua taharuki miongoni mwa...
Ili kufuatilia nyendo za Polisi na kuepusha rushwa. Polisi walazimishwe kuvaa body camera ili kufuatilia mazungumzo na mienendo Yao yote ichunguzwe na Mamlaka huru (Independent Police Oversight Authority).
WANAUME WAKUMBUSHWA KUFUATILIA AFYA ZAO KAMA WANAVYOFUATILIA MPIRA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange amewakumbusha wananume kufuatilia afya zao na Afya za Watoto kama wanavyofuatilia mechi za mataifa ya Africa AFCON2023 yanayoendelea nchini Ivory Coast...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini mkoani Manyara Pauline Gekul amewataka wazazi na walezi kufuatilia mienendo ya watoto wao pindi wakiwa mashuleni pamoja na kushirikiana na walimu ili kuboresha mazingira ya Shule pindi inapohitajika mchango wao...
Israel walitoa amri watu waondoke Gaza, amelfu wakatii ila kunao wengi waliona kama mkwara wakabaki, wamelipuliwa wakaanza kutoka nduki, miili ya watoto imetapakaa pembezoni mwa barabara, inataka moyo kuendelea kufuatilia huu ugomvi.
HAMAS popote walipo sijui wanajihisi kivipi au ndio kuendelea...
Ripoti ya African Digital Rights Network (ADRN) inayohusu Nchi zinazotumia Teknolojia ya Ufuatiliaji wa Watu Barani Afrika, imeitaja Serikali ya Nigeria kuongoza katika matumizi ya Fedha zaidi (Zaidi ya Tsh. Trilioni 6.77 ndani ya miaka 10) katika uwekaji wa Mifumo hiyo.
Mifumo inahusisha...
Nikiwa sina kazi leo nikaamua kujishughulisha kidogo kwa kufanya kautafiti kangu ka-usafi (afya) wa hivi vi-mgahawa vya hapa mitaani kwetu tunakopatia chai na lunch. Nikaona nishughulike na nyendo zao za chooni kwanza. Nimepitia migahawa minne na kote nimekutana na mambo yanayofanana kwa 100%...
Wataalamu.
Mimi siyo mwanasheria. Napenda kujuzwa kwa Tanzania ni mamlaka ipi ina wajibu wa kufuatilia mienendo ya Raisi ili pale anapo kosea aambiwe au kuwajibika?
Tumeshasikia huko kwa wenzetu Raisi anaweza kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka. Mfano jacob zuma, Trump etc...
Nianze kwa kupongeza uamuzi wa Serikali kuamua kuitikia wito wa kuunda Tume ya kufuatilia suala la Madaktari Wahitimu Watarajali Nchini.
Uamuzi huo unaonesha wazi Serikali ipo kazini na ina nia ya kweli ya kuwasaidia Wananchi wake kwa kuwa ukifuatilia hoja za Wanataaluma hao wa Udaktari zina...
===
Greatest of all time
Leo ni Sikukuu ya Soka.
Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga.
Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
Jeshi la Kenya (KDF) linafana juu chini kuhakikisha kila Askari mwenye cheo Cha kanali hawezi kupiga chafya bila rais na amir Jeshi mkuu wa nchi hiyo kupewa taarifa.
Sababu kubwa ya rais kuongeza umakini huo ni baada ya mapinduzi kadhaa yaliyotokea Afrika magharibi mengi yao yaliongozwa na...
Habari wadau,
Nimuda sasa nimekua na wazo la kuanzisha biashara ya kuuza movies mbalimbali ambazo nitakua nimeserve kwenye server fulani.
Tatizo mimi ni muajiliwa na sintokua na muda wa kuifuatilia kwamba kwa siku zimezwa movies ngapi kwa kunyonywa kutoka kwenye computer
Naomba wadau kama kuna...
Hata nikiamshwa usingizini na nikaulizwa ni mambo yapi yamtambeba Rais Samia au mgombea yeyote wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao kabla ya kupepesa jicho nitakuambia yafuatayo:
Kwanza, furaha na matarajio ya Wananchi. Hapa kuna masuala ya huduma bora, maslahi bora na maisha bora.
Pili...
Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.
Jambo hili limenisikitisha sana...
Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto anaharisha, au baiskeli yangu imeibiwa spokes kila mtu atakuja na dharula yake.
Hii tabia ni kama kirusi...
- Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:-
1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi )
2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee )
Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
Kwanza niseme mimi siyo wa kwanza kuwalalamikia hawa Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu (HESLB). Ukiingia ATM uka-command kutoa pesa, ukapewa risti na pesa isitoke. Ukiingia ndani au ukapiga simu pesa yako inarudishwa muda huo huo.
Lakini hawa HESLB wanakata wanufaika wa mikopo Elimu ya juu kwa miaka...
Habari za mwamko waungwana,
nimejiuliza hili swali nikashindwa kupata majibu.
Kwa mfano timu A inacheza na timu B, Timu A wakapata penati, mchezaji wao akaipiga na kipa wa timu B akaitema mpira ukarudi uwanjani na kumkuta mchezaji mmojawapo wa timu A akafunga.
Je, hilo bao litahesabiwa kuwa...
Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura.
Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.
Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa...
Kamishina wa Polisi Jamii (CP), Fausitine Shilogile amewaelekeza wakuu wa upelelezi katika mikoa (RCO) pamoja na madawati ya jinsia kuhakikisha wanafuatialia kwa ukaribu kesi za ukatili wa kijinsia na unayanyasaji wa watoto ili wanapopeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali liwe na ushahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.