Huyu bwana wa kuiga iga hakimpiti kitu 😂 ati na yeye ameamua kudunduliza vindevu vyake ili awe kama Rick Ross ( rich forever). Basi kwa vile anafuga vindevu mda si mrefu ataanza kujitangaza amekua tajiri zaidi ya Bill Gates 👀
Picha ya chini ni Diamond Platnumz akiwa na muonekano mpya wa kirich...
Wandugu ina maana mmeshindwa kabisa kufuga senene tule mwaka mzima?
Wamarekani wanakula mdudu mmoja anafanana na senene anaitwa Cricket kwa Kiswahili nyenje au nyenze. Wameanza kumfuga na ni biashara kubwa sana.
Fanyeni mambo tupate senene mwaka mzima. Dunia inakoenda wadudu watakuwa ni source...
Habari watu makini.
Nieandaa project au mapango wa kufuga kuku inarange 10m to 15m, kwasasa niko Dar lkn huu mpango naenda kuufanyia Tarime cz ndo naishi huko.
Nahitaji Mtu ambae atasimamia huu mradi wangu kama General manager, atakaa kwangu hadi atakapoamua kupanga au la. Mshahara...
Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana Mwanza, nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji nguruwe wa kufuga, mbegu bora kabisa.
Karibuni sana 0719832015
Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka nimudu marejesho ya mkopo.
Nadhani makosa yaliyotunguliwa na Biswalo Mganga dhidi ya watu mbalimbali kinyume Cha haki na bila upelelezi kukamilika kwa miaka kadhaa yanatia kichefuchefu na kujiuliza amepandishwaje kuwa Jaji?
Mfano mdogo, watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na nyara za serikali( ndege aina ya Tausi) na wanawekwa...
Iko siku hao tunaowaita machinga watakuja kulikataa hilo jina Na kudai wapewe jina lingine Na wanasiasa. Sasa hivi neno wamachinga linatumika fuko kuukuu kubwa la kuwafichia vijana wasiokuwa Na ajira, wasiokuwa Na pembejeo za kilimo, wasiokuwa na zana za kuvulia wala maeneo ya kuchungia Mifugo...
Habari wana jukwaa la ufugaji,
Nataka kufuga Bata wa nyama. Hivyo naomba ushauri wenu wadau ili niweze kutimiza lengo langu.
Asanteni.
Zaidi soma>>Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.