Habari za weekend wakuu?
Napenda kujua,je umeshawahi kufumaniwa?Ilikuchukua muda gani kwa tukio lile kufitika kichwani mwako?
Binafsi ilinitokea siku za karibuni,sielewi ni nani alimtonya wife,Akaja direct mpaka kwenye guest tuliyokuwa tunanyanduana,cha ajabu zaidi mpaka kwenye dirisha la...
Wagombea wametahadharishwa kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vinavyoweza kuharibu taswira yenu kama viongozi, baada ya mmoja wao kudaiwa kufumaniwa ugoni akiwa katika harakati za kampeni.
Kwema humu?
Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje?
Ngoma iliishaje?
As salaam alaikhum ndugu Wana familia wa JamiForums
Katika maisha Kuna visa vingi hutokea na kila mwanadamu huwa ana kisa au stori ambayo katika maisha yake au mazingira anayo ishi humtokea
Siku hizi tumeona ukatili kisa fumanizi la mke wa mtu au mume wagoni wamekuwa wakifanyiwa ukatili...
Wakuu salama.
Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea
Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA.
Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
Habarini za muda huu wadau!!
Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.
Je, ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania mwenza wako?
Je, utajishughulisha na mwenzi wako au utajishughulisha na mgoni wako?
Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre.
Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la mtakataifu Aloyce, kutumikia altareni huku ndoto zetu ikiwa ni baadae kwenda seminari hadi Upadrisho...
Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi tu.
Bhana ngoja nitoe stori yangu moja hivi.
Mwaka 2018 nilikuwa Bukoba najishughulisha katika...
MKAZI wa Kijiji cha Gininga wilayani Busega mkoani Simiyu, Luli Shibone (29) amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu wa mazao iitwayo Celphos, baada ya mume wake kupekua simu wakati akiwa amelala usiku na kubaini mawasiliano kati yake na mwanaume mwingine.
Kamanda wa...
MKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na...
Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho.
Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa...
John Mhagama (42) mkazi wa mtaa wa kanisa B, wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe amejiua kwa kunywa sumu baada ya kufumaniwa na mke wake akiwa kwenye mazungumzo ya kimapenzi na binti wa kidato cha kwanza anayeishi nyumba jirani na yao.
Imeelezwa kuwa marehemu alikuwa na tabia ya kwenda kununua mkaa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka,
Namshukuru Mungu alininusuru, ningepata fedheha ya milenia kwasababu mwenye nzigo ni mtu wangu wa karibu sana ni zaidi ya...
Marehemu Anna Shirima popote ulipo sasa hapo Kaburini ulikozikwa Mkoani Kilimanjaro GENTAMYCINE nakutunuku Tuzo ya Ushujaa Uliotukuka kwa Kitendo chako kizuri na cha Kimedani pia cha Kujiua baada tu Kufumaniwa na Mumeo ukiwa 'Unakazwa' na Hawara yako.
Wala hukutaka Mambo mengi au kupotezeana...
Msichana mdogo wa Kati ya umri wa miaka 17 Hadi 18 aitwaye Raheli mkaazi wa Kimpungua Manispaa ya Singida anadaiwa kujinyonga siku ya Jumapili 19/9/2021 baada ya mama yake mdogo kuwakuta wakifanya mapenzi na mume wake yaani baba mdogo wa marehemu.
Akielezea tukio Hilo mama huyo aliyejulikana...
Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.
Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?
Je, tatizo nini?
Tuambizane.
Nakumbuka ilikuwa siku ya Boxing Day miaka ya nyuma kidogo enzi hizo nikiwa sekondari kidato cha nne nilikuwa na mpenzi jirani yaani hatua chache kutoka nyumbani kwetu. Kutokana na kutamani kumgegeda kwa kipindi kirefu na nilikuwa nikikosa nafasi kama unavyo fahamu tena kishule shule pesa tu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.