Naomba shuhuda za jambo au mambo ambayo ushawahi kuwafanyia watu waliokukosea yakawafundisha kukuheshimu na kutorudia tena tabia mbovu juu yako.
Naomba pia zile shuhuda nzito ambazo wahenga waliziongelea waliposema “asiyefunzwa kwao, atafundishwa na ulimwengu” - wewe kama mlimwengu, ulishawahi...