Tukio gani ulishawahi kufanya ukahakikisha umemfundisha mtu adabu?

Tukio gani ulishawahi kufanya ukahakikisha umemfundisha mtu adabu?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Naomba shuhuda za jambo au mambo ambayo ushawahi kuwafanyia watu waliokukosea yakawafundisha kukuheshimu na kutorudia tena tabia mbovu juu yako.

Naomba pia zile shuhuda nzito ambazo wahenga waliziongelea waliposema “asiyefunzwa kwao, atafundishwa na ulimwengu” - wewe kama mlimwengu, ulishawahi kumfudisha nini binadamu, somo likamuingia?

Pia kama ulishawahi kufunzwa adabu, ukakoma tabia mbaya, tuambie ulifanyiwa nini ukajifunza?

I See You GIF by Amazon Prime Video.gif


Kuna watu waniletea upuuz** na nilivyo nina kaunyonge flani hivi ambako nahisi kananikost, nahitaji kujifunza kidogo kutoka kwenu.

Asanteni na siku njema!
 
Naomba shuhuda za jambo au mambo ambayo ushawahi kuwafanyia watu waliokukosea yakawafundisha kukuheshimu na kutorudia tena tabia mbovu juu yako.

Naomba pia zile shuhuda nzito ambazo wahenga waliziongelea waliposema “asiyefunzwa kwao, atafundishwa na ulimwengu” - wewe kama mlimwengu, ulishawahi kumfudisha nini binadamu, somo likamuingia?

Kuna watu waniletea upuuz** na nilivyo nina kaunyonge flani hivi ambako nahisi kananikost, nahitaji kujifunza kidogo kutoka kwenu.

Asanteni na Asubuhi njema!
Kuna jamaa humu jf alisema alimshikisha x wake adabu kwa kupita vumbini ili kumkomesha!! Sasa sijui hii imekaaje!!
 
Nakumbuka mimi ndie nilipigwa tukio,aliyenipiga tukio nina imani alifanya hivyo na aliamini kabisa amenikomesha na iko hivyo, nilimpenda dada mmoja hivi,kipindi hicho uhakika wa kupata 20k kwa siku cash nilikuwa nao. Kila uchao ananikamua pesa,mara pedi,mara kusuka nk ndani ya miaka miwili mapenzi yakawa motomoto ila ghafla siku moja napiga simu haipatikani mpaka wa leo,kwao kuulizia kwa wazazi wake naambiwa kaolewa sumbawanga. Kuanzia siku hiyo siwaamini wanawake.
 
Naomba shuhuda za jambo au mambo ambayo ushawahi kuwafanyia watu waliokukosea yakawafundisha kukuheshimu na kutorudia tena tabia mbovu juu yako.

Naomba pia zile shuhuda nzito ambazo wahenga waliziongelea waliposema “asiyefunzwa kwao, atafundishwa na ulimwengu” - wewe kama mlimwengu, ulishawahi kumfudisha nini binadamu, somo likamuingia?

Kuna watu waniletea upuuz** na nilivyo nina kaunyonge flani hivi ambako nahisi kananikost, nahitaji kujifunza kidogo kutoka kwenu.

Asanteni na Asubuhi njema!
Nilipokuwa mwanafunzi Charambe primary , konda alikuwa anatuzuia kupanda gari, nauli ilikuwa shilingi 50 mpaka mnazi mmoja, sasa mimi nilikuwa nakaa Mbagala kuu, so "nikibahatika kukaa, naenda siti ya nyuma, tunaandika matusi kwenye siti, tunaweka bublish na siku nyingine wavulana walikuwa wanaweka lami kwenye siti" basi tu ili kila mtu aumie.
 
1. Nishamfata mtu na panga ofisini kwake, mchana kweupe mjini kariakoo, nikachezesha mabapa, huyu alitaka kuniletea udhulumati.. nililala kituo cha polisi lakini haki yangu niliipata..
"Pale pale kituoni, nilimchana mzee mie sidhulumiwi,bora utombe mke wangu nitakusamehe ila pesa yangu, hii ya panga shukuru nilikuwa nina akili za kibinadamu, next time nakupiga bomu la samaki, kmmako"
Askari akaniambia mzee punguza jazba zitakuponza, akamgeukia na yule bwege akamwambia si ulipe tu, hizi tabia za dhuluma sio nzuri.. nikalipwa stahiki yangu.
2. Swahiba wangu kabisa, alitaka kuleta ubazazi, alikuwa anamnyapia nyapia demu wangu,demu ambae ndio alikuwa kama mke mtarajiwa, kibaya zaidi kwa gia za kunikandia, demu akawa ananionesha mie napotezea, zike mtajuana wenyewe, baadae demu akawa ananimaindi iweje naleta mashtaka zaidi ya mwezi wa 3, mie jibu ni mtajuana wenyewe, ama mie namtuma, ama simthamini namchukulia poa,
Nikamjibu unataka nifanyaje sasa, jibu likawa vyovyote mie sitaki huu ujinga. Kibaya zaidi mchizi akaanza tangaza vijineno vya hovyo na kibifu cha kimya kimya, nikasema ngoja nikuoneshe
Nikatomba dada wa mshikaji na mkewe.. kibaya zaidi wakajuana wakawa wanaliliana wivu, ugomvi ukaja julikana, na ilibaki kidogo nigonge na mama yake kabisa.
Jamaa mpaka leo hataki kunisikia, ulizuka ugomvi mixer kunisaka na kisu.. wazee wakasaidia kesi ikaisha
3,4, na 5 subiri ninywe chai
 
Back
Top Bottom