Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Na ulivyo mbabeUnataka za kibabe au za kawaida...
Wengine tukifunguka hapa itakuwa mzozo
Na ulivyo mbabeUnataka za kibabe au za kawaida...
Wengine tukifunguka hapa itakuwa mzozo
Za kibabe, za kimafia, za kikatili - zile zenyewe zenyeweee kabisa!Unataka za kibabe au za kawaida...
Wengine tukifunguka hapa itakuwa mzozo
Wewe tena, najua una matukio hayo shetani mwenyewe huwa anakaa pembeni. Tiririka!Ziko nyingi tu 😎View attachment 3601421
Duuuh, alimfanyia nini mpaka akamuadhibu kwa ukatili hivyo?Kuna jamaa humu jf alisema alimshikisha x wake adabu kwa kupita vumbini ili kumkomesha!! Sasa sijui hii imekaaje!!
Unataka za kibabe au za kawaida...
Wengine tukifunguka hapa itakuwa mzozo
Ulimfundishaje adabu, funguka nijifunze kituMiezi miwili nyuma....Yule Mtu kila akiniona anabadilisha njia...
Alikuwa na tabia ya kunichukulia poa sana...
Duuuh, uliwafanyaje, mbona adhabu kali sana!Waliingiza kichwa changu kwenye mzinga wa nyuki….nilivimba balaa 🥹
Mtoa mada kasema tukio ulilolifanya siyo ulilofanywa/fanyiwa.Waliingiza kichwa changu kwenye mzinga wa nyuki….nilivimba balaa 🥹
Unasoma Charambe, unakaa Mbagala Kuu. Mnazi mmoja imefata nini kwenye huu mjadala.Nilipokuwa mwanafunzi Charambe primary , konda alikuwa anatuzuia kupanda gari, nauli ilikuwa shilingi 50 mpaka mnazi mmoja, sasa mimi nilikuwa nakaa Mbagala kuu, so "nikibahatika kukaa, naenda siti ya nyuma, tunaandika matusi kwenye siti, tunaweka bublish na siku nyingine wavulana walikuwa wanaweka lami kwenye siti" basi tu ili kila mtu aumie.
Naogopa sana mambo ya revenge. Yanaweza kukuweka matatani sana!Before you embark on a journey of revenge, dig two graves.
Inawezekana siku moja mtakutana na atakuambia ni kwanini alikukimbia, pole sana!Nakumbuka mimi ndie nilipigwa tukio,aliyenipiga tukio nina imani alifanya hivyo na aliamini kabisa amenikomesha na iko hivyo, nilimpenda dada mmoja hivi,kipindi hicho uhakika wa kupata 20k kwa siku cash nilikuwa nao. Kila uchao ananikamua pesa,mara pedi,mara kusuka nk ndani ya miaka miwili mapenzi yakawa motomoto ila ghafla siku moja napiga simu haipatikani mpaka wa leo,kwao kuulizia kwa wazazi wake naambiwa kaolewa sumbawanga. Kuanzia siku hiyo siwaamini wanawake.
😅 😅 aiseeh, sasa konda akikuta hayo matukio yenu, siku nyingine si ndiyo anawagomea kabisa kupanda gari zake?Nilipokuwa mwanafunzi Charambe primary , konda alikuwa anatuzuia kupanda gari, nauli ilikuwa shilingi 50 mpaka mnazi mmoja, sasa mimi nilikuwa nakaa Mbagala kuu, so "nikibahatika kukaa, naenda siti ya nyuma, tunaandika matusi kwenye siti, tunaweka bublish na siku nyingine wavulana walikuwa wanaweka lami kwenye siti" basi tu ili kila mtu aumie.
Ulimpiga tukio gani?Kuna mtu alivuka mstari mwekundu hivi majuzi, sasa hivi naona kahama mji kaenda na kijijini kwao
Id inasadifu yaliyomo 2pac shakur🔥1. Nishamfata mtu na panga ofisini kwake, mchana kweupe mjini kariakoo, nikachezesha mabapa, huyu alitaka kuniletea udhulumati.. nililala kituo cha polisi lakini haki yangu niliipata..
"Pale pale kituoni, nilimchana mzee mie sidhulumiwi,bora utombe mke wangu nitakusamehe ila pesa yangu, hii ya panga shukuru nilikuwa nina akili za kibinadamu, next time nakupiga bomu la samaki, kmmako"
Askari akaniambia mzee punguza jazba zitakuponza, akamgeukia na yule bwege akamwambia si ulipe tu, hizi tabia za dhuluma sio nzuri.. nikalipwa stahiki yangu.
2. Swahiba wangu kabisa, alitaka kuleta ubazazi, alikuwa anamnyapia nyapia demu wangu,demu ambae ndio alikuwa kama mke mtarajiwa, kibaya zaidi kwa gia za kunikandia, demu akawa ananionesha mie napotezea, zike mtajuana wenyewe, baadae demu akawa ananimaindi iweje naleta mashtaka zaidi ya mwezi wa 3, mie jibu ni mtajuana wenyewe, ama mie namtuma, ama simthamini namchukulia poa,
Nikamjibu unataka nifanyaje sasa, jibu likawa vyovyote mie sitaki huu ujinga. Kibaya zaidi mchizi akaanza tangaza vijineno vya hovyo na kibifu cha kimya kimya, nikasema ngoja nikuoneshe
Nikatomba dada wa mshikaji na mkewe.. kibaya zaidi wakajuana wakawa wanaliliana wivu, ugomvi ukaja julikana, na ilibaki kidogo nigonge na mama yake kabisa.
Jamaa mpaka leo hataki kunisikia, ulizuka ugomvi mixer kunisaka na kisu.. wazee wakasaidia kesi ikaisha
3,4, na 5 subiri ninywe chai
Hizo 1 na 2 ni hatari, inahitaji uwe na roho ngumu.1. Nishamfata mtu na panga ofisini kwake, mchana kweupe mjini kariakoo, nikachezesha mabapa, huyu alitaka kuniletea udhulumati.. nililala kituo cha polisi lakini haki yangu niliipata..
"Pale pale kituoni, nilimchana mzee mie sidhulumiwi,bora utombe mke wangu nitakusamehe ila pesa yangu, hii ya panga shukuru nilikuwa nina akili za kibinadamu, next time nakupiga bomu la samaki, kmmako"
Askari akaniambia mzee punguza jazba zitakuponza, akamgeukia na yule bwege akamwambia si ulipe tu, hizi tabia za dhuluma sio nzuri.. nikalipwa stahiki yangu.
2. Swahiba wangu kabisa, alitaka kuleta ubazazi, alikuwa anamnyapia nyapia demu wangu,demu ambae ndio alikuwa kama mke mtarajiwa, kibaya zaidi kwa gia za kunikandia, demu akawa ananionesha mie napotezea, zike mtajuana wenyewe, baadae demu akawa ananimaindi iweje naleta mashtaka zaidi ya mwezi wa 3, mie jibu ni mtajuana wenyewe, ama mie namtuma, ama simthamini namchukulia poa,
Nikamjibu unataka nifanyaje sasa, jibu likawa vyovyote mie sitaki huu ujinga. Kibaya zaidi mchizi akaanza tangaza vijineno vya hovyo na kibifu cha kimya kimya, nikasema ngoja nikuoneshe
Nikatomba dada wa mshikaji na mkewe.. kibaya zaidi wakajuana wakawa wanaliliana wivu, ugomvi ukaja julikana, na ilibaki kidogo nigonge na mama yake kabisa.
Jamaa mpaka leo hataki kunisikia, ulizuka ugomvi mixer kunisaka na kisu.. wazee wakasaidia kesi ikaisha
3,4, na 5 subiri ninywe chai
Alikufanyia nini mpaka ukaamua hivyo?Nilimwambia nakutoa out akajiandaa vizuri nikampeleka kwa mama ntilie nikamuagizia makande na maji ya Kandoro, alinuna huyo.