Hii ndio Revenge.nipo naishi na jirani yangu yuko yeye na familia yake na mtoto mmoja wa kiume kma miaka 23
Uyo jiran yangu amenizid umri huyu jiran bhana alikuwa ananichukia bila sababu
Kila siku maneno uzushi mtaan mala kunizibia njia nikiwa naingia kwangu mala kunipeleka offc za kata anasema namwaga uchafu ovyo
Mpaka watu wakajua kuwa roho yake mbaya anipendi kila kes yake nashinda mimi
SASA KUMKOMESHA JIRAN NIKAMTAFUTIA KAZI HUYO KIJANA WAKE WA KIUME KAZI YA KUTEMBEA NA MAGARI MAKUBWA DOGO KAPATA KAZI NA SAFARI YA KWAMZA CONGO AKAMWAMBIA BABA AKE MI NDIO NIMEMTAFUTIA KAZI
DAH JIRAN KAJA HOME ANALIA YEYE NA MKE WAKE NA KUANZA KUKILI WALIONIFANYIA MI NIPO KIMYA TU
Pole bro nimeumia sana, ila MUNGU mkubwa haki Yako haipoeti msamehe endelea na maishaNakumbuka mimi ndie nilipigwa tukio,aliyenipiga tukio nina imani alifanya hivyo na aliamini kabisa amenikomesha na iko hivyo, nilimpenda dada mmoja hivi,kipindi hicho uhakika wa kupata 20k kwa siku cash nilikuwa nao. Kila uchao ananikamua pesa,mara pedi,mara kusuka nk ndani ya miaka miwili mapenzi yakawa motomoto ila ghafla siku moja napiga simu haipatikani mpaka wa leo,kwao kuulizia kwa wazazi wake naambiwa kaolewa sumbawanga. Kuanzia siku hiyo siwaamini wanawake.
Nasubiri full story🤣Miezi miwili nyuma....Yule Mtu kila akiniona anabadilisha njia...
Alikuwa na tabia ya kunichukulia poa sana...
Wewe nikikukuta mbinguni natoka naenda motoni 😑🤣🤣🤣🤣Nilipokuwa mwanafunzi Charambe primary , konda alikuwa anatuzuia kupanda gari, nauli ilikuwa shilingi 50 mpaka mnazi mmoja, sasa mimi nilikuwa nakaa Mbagala kuu, so "nikibahatika kukaa, naenda siti ya nyuma, tunaandika matusi kwenye siti, tunaweka bublish na siku nyingine wavulana walikuwa wanaweka lami kwenye siti" basi tu ili kila mtu aumie.
Inakuja🤣🤣🤣🤣Nasubiri full story🤣
Ulipiga tukio la kishujaa🤣🤣🤣Inakuja🤣🤣🤣🤣
Hapa nakumbuka nacheka peke yangu...najiambia hazikuwa akili zangu zile😅
Siyo poa😀😀😀😀Ulipiga tukio la kishujaa🤣🤣🤣
Tusio na maneno mengi watu hutuchukulia poa sana🤣Siyo poa😀😀😀😀
Na nilikuwaga namweleza kwa uzuri tu unachofanya siyo sawa..Akaona ananimudu sana...
Siku isiyokuwa na jina ikawadia....Aloooooh😄
Saaaaana...Tusio na maneno mengi watu hutuchukulia poa sana🤣
Ndio hapo sasa! Mtu anakuzoea kijinga jinga tu🙆♂️🙆♂️Saaaaana...
Wasijue tuna mipaka hawafai kuvuka
Nikilewa mniache naona umekumbuka enzi zako siku ya ubarikio, unapiga tukio ukiwa umevaa nguo, cha kusimama!Nilipokuwa mwanafunzi Charambe primary , konda alikuwa anatuzuia kupanda gari, nauli ilikuwa shilingi 50 mpaka mnazi mmoja, sasa mimi nilikuwa nakaa Mbagala kuu, so "nikibahatika kukaa, naenda siti ya nyuma, tunaandika matusi kwenye siti, tunaweka bublish na siku nyingine wavulana walikuwa wanaweka lami kwenye siti" basi tu ili kila mtu aumie.