Tukio gani ulishawahi kufanya ukahakikisha umemfundisha mtu adabu?

Kipindi nasoma O level wale wanafunzi waliokua wanasoma darasa la sayansi walikua wanatudharau sana sisi tunaosoma darasa la arts...

Kuna dada mmoja alikua ana akili sana pale sayansi, ni mmoja ya watu waliokua wanaowadharau wanafunzi wale wanaosoma darasa la arts... Yule dada yaani naweza nikapishana nae ananipita kwa dharau, alikua anajiona special sana...

Tulivyomaliza form four nikapata division three, yeye akapata one... Nikachaguliwa kwenda advance kwa sababu combination yangu ili balance, hata hivyo kipindi kile kupata Division three ilikua ni mpaka upambane sana. Yeye pia alichaguliwa shule moja maarufu iliyokuwepo mkoani kwetu...

Kumbuka kipindi hicho miaka ya nyuma ilikua big deal sana kufulu kwenda kidato cha tano. Kwa kipindi hicho unakuta mtaa unaoishi watu ambao wana elimu ya advance level ni mmoja au wawili...

Nimefika zangu advance pale from no where hiyo HGL ninayosoma nakuta tu masomo nayaelewa vizuri tofauti na o level,.. Test na mitihani nafaulu vizuri tu... Nimekuja kufanya Necta form six nikagonga Division one nzuri tu.

Chuo nimefika pale Udsm nilikutana nae yule dada mwenye dharau tunapiga course moja.. Yule dada sikuwahi kumsemesha kwa chochote, tunapishana iwe cafeteria au lecture rooms bila kusemeshana... Hata niwe nae group moja la presentation na-interact nae kama simjui vile, mara nyingine anaweza akaniangalia na mimi nikamwangalia kama hatujawahi kujuana.... Mpaka tunamaliza pale Udsm sijawahi kuongea nae jambo lolote, ni ukauzu mwanzo mwisho a.k.a mikausho mikali.
Nachowapongeza ni kuwa mlifika hadi chuo kikuu na kuhitimu pamoja. Sehemu nyie watu wa UDSM ni kawaida yenu kuniniana na kujimwambafai.
 
Tulikuwa tunakwenda kusalimia wasichana wenzetu wanasoma Mtendeni Primary, pale mnazi mmoja.
Tatizo vijana wa leo mmekariri maisha.
Zamani Mwanafunzi Darasa la kwanza, unatoka Mbagala, unaenda mnazi mmoja, mnaenda kinondoni kufuata mabuyu-kule kinondoni kwa Pinda, mnarudi karume kununua chupi za mtumba alafu baadae jioni mnarudi nyumbani.
Sio kweli, sio kwamba siyajui hayo. Mimi nimetoka magomeni kwa miguu hadi Coco Beach, Magomeni hadi Ubungo kucheza mpira, Magomeni hadi Buguruni kumfata demu wangu tena kwa miguu.
Maelezo yako tu hayajakaa poa.
 
Nilimpa mimba Mamkwe baada ya Mumewe(Bamkwe) kuniandama sana nimuoe binti yake niliyemtia mimba na kuzaa nae.
Nilitaka anisusie wote yeye si mkorofi na anaona dawa ya mimba ni kuoana.
 
Nachowapongeza ni kuwa mlifika hadi chuo kikuu na kuhitimu pamoja. Sehemu nyie watu wa UDSM ni kawaida yenu kuniniana na kujimwambafai.
Utoto na ushamba huwa unawasumbua, kwani Udsm kuna kioi cha maana? Wangesoma Udom si ingekuwa balaa zaidi.
 
nipo naishi na jirani yangu yuko yeye na familia yake na mtoto mmoja wa kiume kma miaka 23
Uyo jiran yangu amenizid umri huyu jiran bhana alikuwa ananichukia bila sababu

Kila siku maneno uzushi mtaan mala kunizibia njia nikiwa naingia kwangu mala kunipeleka offc za kata anasema namwaga uchafu ovyo

Mpaka watu wakajua kuwa roho yake mbaya anipendi kila kes yake nashinda mimi

SASA KUMKOMESHA JIRAN NIKAMTAFUTIA KAZI HUYO KIJANA WAKE WA KIUME KAZI YA KUTEMBEA NA MAGARI MAKUBWA DOGO KAPATA KAZI NA SAFARI YA KWAMZA CONGO AKAMWAMBIA BABA AKE MI NDIO NIMEMTAFUTIA KAZI

DAH JIRAN KAJA HOME ANALIA YEYE NA MKE WAKE NA KUANZA KUKILI WALIONIFANYIA MI NIPO KIMYA TU
 
Upo kimya mkuu, unajikuta we ni Yesu au sio!

Upo kimya mkuu, unajikuta we ni Yesu au sio! 🤣😂
 
We jamaa bangi zinakusumbua unafanananisha Udsm na Udom kweli, kwanza mi wakati nasoma hiyo takataka unayoiita Udom haikuwepo.
Wewe ni mpuuzi tu. Kama haya ndiyo mawazo na sifa unazozunguka nazo mtaani wewe ni limbuken pro max xyz.
 
nipo naishi na jirani yangu yuko yeye na familia yake na mtoto mmoja wa kiume kma miaka 23
Uyo jiran yangu amenizid umri huyu jiran bhana alikuwa ananichukia bila sababu

Kila siku maneno uzushi mtaan mala kunizibia njia nikiwa naingia kwangu mala kunipeleka offc za kata anasema namwaga uchafu ovyo

Mpaka watu wakajua kuwa roho yake mbaya anipendi kila kes yake nashinda mimi

SASA KUMKOMESHA JIRAN NIKAMTAFUTIA KAZI HUYO KIJANA WAKE WA KIUME KAZI YA KUTEMBEA NA MAGARI MAKUBWA DOGO KAPATA KAZI NA SAFARI YA KWAMZA CONGO AKAMWAMBIA BABA AKE MI NDIO NIMEMTAFUTIA KAZI

DAH JIRAN KAJA HOME ANALIA YEYE NA MKE WAKE NA KUANZA KUKILI WALIONIFANYIA MI NIPO KIMYA TU
Huu sio ukauzu sasa ni stori tu kama stori nyingine
 
Back
Top Bottom