leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Usinisingie jiraniSi nakuona jirani
Usinisingie jiraniSi nakuona jirani
Tutaongea jioni nikikuona umerejeaUsinisingie jirani
KaribuTutaongea jioni nikikuona umerejea
hahahahaha watu wa PCB, PCM, CBG, ngoja wajeKipindi nasoma O level wale wanafunzi waliokua wanasoma darasa la sayansi walikua wanatudharau sana sisi tunaosoma darasa la arts...
Kuna dada mmoja alikua ana akili sana pale sayansi, ni mmoja ya watu waliokua wanaowadharau wanafunzi wale wanaosoma darasa la arts... Yule dada yaani naweza nikapishana nae ananipita kwa dharau, alikua anajiona special sana...
Tulivyomaliza form four nikapata division three, yeye akapata one... Nikachaguliwa kwenda advance kwa sababu combination yangu ili balance, hata hivyo kipindi kile kupata Division three ilikua ni mpaka upambane sana. Yeye pia alichaguliwa shule moja maarufu iliyokuwepo mkoani kwetu...
Kumbuka kipindi hicho miaka ya nyuma ilikua big deal sana kufulu kwenda kidato cha tano. Kwa kipindi hicho unakuta mtaa unaoishi watu ambao wana elimu ya advance level ni mmoja au wawili...
Nimefika zangu advance pale from no where hiyo HGL ninayosoma nakuta tu masomo nayaelewa vizuri tofauti na o level,.. Test na mitihani nafaulu vizuri tu... Nimekuja kufanya Necta form six nikagonga Division one nzuri tu.
Chuo nimefika pale Udsm nilikutana nae yule dada mwenye dharau tunapiga course moja.. Yule dada sikuwahi kumsemesha kwa chochote, tunapishana iwe cafeteria au lecture rooms bila kusemeshana... Hata niwe nae group moja la presentation na-interact nae kama simjui vile, mara nyingine anaweza akaniangalia na mimi nikamwangalia kama hatujawahi kujuana.... Mpaka tunamaliza pale Udsm sijawahi kuongea nae jambo lolote, ni ukauzu mwanzo mwisho a.k.a mikausho mikali.
Binadamu wanampa kazi ba mjengo wangu kunituliza mihasira, kimoja kinakuwa hakitoshi, nahitaji vitatu mpaka niishiwe nguvu ndiyo nikae sawa 😎weekend ya kupewa kimoja cha nguvu ewe Binti wa zamani
Nimekuogopa.Karibu
hahahahaha viwili kwa leo kesho uwahi jumuiya ya Mt SesiliaBinadamu wanampa kazi ba mjengo wangu kunituliza mihasira, kimoja kinakuwa hakitoshi, nahitaji vitatu mpaka niishiwe nguvu ndiyo nikae sawa 😎
Imegawanywa sasa hivi niko ya mtakatifu Bhakita 😂hahahahaha viwili kwa leo kesho uwahi jumuiya ya Mt Sesilia
Mmmh ingetokea umeonana naye hata siku moja kabla hajafa, ungeambiwa umemuua.Hivi juzi juzi kuna mzee alikua mume wa maza (sio baba yangu mzazi) mizinguo sana, bi mkubwa kila siku analalamika kuhusu yeye. Nilimkuta home kwa bi mkubwa nikampiga bonge la beat mixer kumwambia nisimuone tena pale home, kama anampenda mkewe kweli amhamishe pale kwenye nyumba yetu (kitu ambacho najua alikua uwezo hana). Katika beat langu nikamwambia hapa kwetu uhame, nyumba unayo kakae kwako, usije ukatufia hapa tupewe kesi. Na usipohama nitawapigia simu ndugu zako ntawaambia waje kuchukua mzigo wao.
Kuna mzee mwenzie ambaye tunaelewana akanipigia simu akaniomba nimsamehe yule mzee, nikagoma nikamwambia huyo mpaka ahame kabisa hapo na nisimuone tena akija. Nikaongeza kabla ya kifo chake atakuwa amehema hapo iwe mvua iwe jua, atanijua mimi ni nani.
Akahama. Mwezi mmoja mbele akafariki. Ameenda hospitali siku 3 tu kavuta.
Aisee! Bi mkubwa ananiuliza we umemfanya nini mzee wa watu?
Hata yule mzee aliyeniomba nimsamehe alinipigia akaniambia dah kijana ndio maana tunatakiwa tuwe waangalifu na kauli zetu.....uliniambia kabla hajafa atahama na imekuwa vile vile.
Lakini mimi sijafanya chochote zaidi ya maneno makali ya kusisitiza kweli kweli na akakimbia. Mimi nna ndugu zangu wengine 2 wote wanaume huyo mzee alikua anatuogopa balaa.
Nyumba yetu tumekupa hifadhi unatusumbulia bi mkubwa wetu, why? Kwanza bi mkubwa keshazeeka haitaji hata huyo mume......kwenda huko.
Kama bi mkubwa wenu kazeeka hamuhitaji huyo mume. Kwa nini alimkaribisha huyo Mzee hapo kwenu wanalala wote?Hivi juzi juzi kuna mzee alikua mume wa maza (sio baba yangu mzazi) mizinguo sana, bi mkubwa kila siku analalamika kuhusu yeye. Nilimkuta home kwa bi mkubwa nikampiga bonge la beat mixer kumwambia nisimuone tena pale home, kama anampenda mkewe kweli amhamishe pale kwenye nyumba yetu (kitu ambacho najua alikua uwezo hana). Katika beat langu nikamwambia hapa kwetu uhame, nyumba unayo kakae kwako, usije ukatufia hapa tupewe kesi. Na usipohama nitawapigia simu ndugu zako ntawaambia waje kuchukua mzigo wao.
Kuna mzee mwenzie ambaye tunaelewana akanipigia simu akaniomba nimsamehe yule mzee, nikagoma nikamwambia huyo mpaka ahame kabisa hapo na nisimuone tena akija. Nikaongeza kabla ya kifo chake atakuwa amehema hapo iwe mvua iwe jua, atanijua mimi ni nani.
Akahama. Mwezi mmoja mbele akafariki. Ameenda hospitali siku 3 tu kavuta.
Aisee! Bi mkubwa ananiuliza we umemfanya nini mzee wa watu?
Hata yule mzee aliyeniomba nimsamehe alinipigia akaniambia dah kijana ndio maana tunatakiwa tuwe waangalifu na kauli zetu.....uliniambia kabla hajafa atahama na imekuwa vile vile.
Lakini mimi sijafanya chochote zaidi ya maneno makali ya kusisitiza kweli kweli na akakimbia. Mimi nna ndugu zangu wengine 2 wote wanaume huyo mzee alikua anatuogopa balaa.
Nyumba yetu tumekupa hifadhi unatusumbulia bi mkubwa wetu, why? Kwanza bi mkubwa keshazeeka haitaji hata huyo mume......kwenda huko.
Sijaelewa kwa Nini uniogope?Nimekuogopa.
Kisasi ulicholipa.Sijaelewa kwa Nini uniogope?
utaweza kusikiliza kweli mafundisho mamilo?Imegawanywa sasa hivi niko ya mtakatifu Bhakita 😂
viwili vya kuanzia asubuhi siyo mbaya.
Hakiku mtosha kwa dhoruba alizoniletea katika maisha yangu.Kisasi ulicholipa.
Hujawahi mfatilia sana. Aliwahi jieleza zamani kwenye Uzi flani.Huyu pia atakua kajisahau bwashee