kufunga

  1. Mwenye uwezo wa kufunga mipaka afunge chakula kinanunuliwa sana na majirani zetu na huu mwaka kutakuwa na njaa

    Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi hiki wanauitaji mkubwa wa chakula kupelekea kununua kwa wingi mazao yalipatikana katika msimu...
  2. Je, ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?

    Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani? Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hivyo kufunga...
  3. Tutofautishe kufunga na kubadili ratiba ya kula

    Kufunga ni Ibada ambao Mungu anakuwa karibu kujibu ombi na dua za mja wake Kufunga ni kujinyima Kufunga ni kutoa sadaka sana Kwa wahitaji Kufunga ni Siri kati ya anae funga na Muumba Kujitangaza na kujionyesha ati unafunga ni unafiki na dhambi Unakuta mtu amefunga mchana anatembea na bakora...
  4. Vidume wenzangu tumejipangaje na mwezi huu wanaanza kufunga hawa.

    Madume wenzangu majabali, ukweli ni kwamba hawa watoto kike wa kiislamu ni watamu balaa, wazuri, watundu kunako, sasa kesho waanza mfungo itakuwa mwezi wote huu? Turudi kwa kina manka kwa kichaga?
  5. Kabla Simba hajapigwa Zile 5 Kulikua na Trend ya Yanga Kufunga goli 5 kwenye Michezo ya Nyuma yake Msimu huo ni kama Msimu huu tu.

    Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili. Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi? Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
  6. Mwenye sample ya barua ya maombi ya kufunga ndoa za kiserikali

    Mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga. Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali. Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
  7. Girlfriend polisi, Nasali na kufunga kupata mtumishi wa umma kada ya upolisi/mwanausalama

    Salaam wanajukwaa. Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu. Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa nawaogopa sana wadada wa usalama, whether mwajajeshi au polisi au wale wa Eagle πŸ¦… House, nilikuwa...
  8. M

    Suala la kufunga shule kupisha ugeni lilitakiwa kupangwa mapema

    Mimi huwa nalia na watendaji na washauri wa mamlaka za juu. Imagine ziara ya Marais kuja mkutanoni Tz ilifahamika miezi kadhaa nyuma. Halafu taarifa ya kufunga shule na vyuo Jijini Dar imetolewa Usiku huu. Kiutaratibu taarifa inatolewa na serikali then taasisi, shule na vyuo husika ndipo nao...
  9. Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  10. D

    Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  11. S

    Nimeamua rasmi kufunga mwaka na kuachana na maamuzi mabaya niliyofanya ya kusoma bachelor of science in chemistry sasa nimeamua nisome bpharm

    Baada ya kipindi kirefu Cha kuwa njia panda nimeamua nifunge mwaka na kubadili kozi.
  12. Taarifa sherehe za kufunga mwaka 2024

    Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali. Kama utakuwa free unaweza ukafanya hivi pia nyumbani kwako Ahsante
  13. L

    Dualis inauzwa hii ni offer ya kufunga mwaka

    Habarini Wana JF napenda kutoka offer ya kufunga mwaka Naitoa kwenu Dualis kwa 13.8Million Gari nzuri sana Piga 0695022051
  14. RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

    Habari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma . Tar 31 ni mkesha mkubwa . Hakika mkoa wa Arusha unatangazwa vilivyo .
  15. Simba kama kufunga itafunga Swaumu au kushinda, Ishinde Njaa. Ikijitahidi leo ni draw

    Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi huitumia katika mambo yangu mbalimbali. kinyota leo ni siku mbaya sana kwa Simba. na sioni kama kuna...
  16. Mrejesho: Wazee wenzangu 60+ nimepata aibu ya kufunga mwaka

    Naam ni kuhusu yule Bi.mkubwa ambaye wengi mlinitia moyo kwamba nimvagae....walahi najuuuuta sijui kwa nini nilimtamani.....Kama nilivyowaeleza awali huyu tupo nae Kanisa moja.....na kule Kanisani maneno yamesha sambaa nadhani hata baba Mchungaji stori itakuwa ishamfikia Mambo si mambo kuna...
  17. D

    Tetesi: Branch International nao waanza kufunga virago kama Tala

    Kutokana na hatua kadhaa zilizoanza kuchukuliwa na BOT, Hawa Branch nao wameanza kusitisha huduma za mikopo kwa wateja wengi haswa Watanzania kwa kisingizio kama Cha Tala, kuwa wanafanyia marekebisho mifumo Yao. Habari hii iwafikie wateja wao au wanaotarajia kuwa wateja wao.
  18. G

    Nje ya kufunga CCTV camera ni huduma gani nyingine inatajirisha IT wa Bongo?

    IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida. Kuna huu mchongo wa cctv camera umebadili maisha ya vijana wengi wa IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili...
  19. Kuchumbia kwa miaka au kufunga ndoa haraka: Njia gani inahakikisha ndoa imara?

    Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
  20. Bashungwa Aiagiza TANROADS Kufunga Mizani Mitatu ya Kupima Uzito wa Magari Tunduma

    BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA. πŸ“Œ Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma πŸ“Œ Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa πŸ“Œ Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara ya Mchepuo, magari yanapita kwa kupokezana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…