kufunga

  1. Morning_star

    Mafundi umeme, nipe faida ya kufunga 6 ways badala ya 4 ways Distribution Board

    Kichwa cha habari kinajitoshereza. Naomba wataalamu wa umeme mnisaidie. Ni ukubwa wa nyumba kwa kiwango gani nalazimika kutumia 6 ways badala ya 4 ways main switch (single phase)?
  2. Miss Zomboko

    Kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa

    Watafiti nchini Marekani wamebaini kwamba kutokula kwa masaa 16-18 au kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa. Katika makala iliyoandikwa katika jarida la “New England Medicine”, imebainishwa kwamba kula ndani ya masaa 6-8 katika siku na masaa...
  3. Richard

    TCRA kufunga simu zisizosajiliwa ni mpango wa serikali kuwabana wale wanaotumia simu kusambaza habari za uzushi au fake news

    Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa. Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa. Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu...
  4. Akilitime

    Dharau: Airtel wameanza kufungia laini zisizosajiliwa

    Naomba kujua, hawa Airtel wanapinga agizo la Mheshimiwa? Mbona wameanza kufunga line kinyume na tamko la Rais? Mimi ni mhanga wa kufungiwa huduma. Ushauri: kama hujasajili wahi mapema ili kuepuka usumbufu wa kukosa mawasiliano hapo baadae. Poa kwa NIDA ingekuwa bora wakaongeza kasi ya utoaji...
  5. Babu Kijiwe

    Nisaidieni jinsi ya kufunga kampuni

    Mambo zenu, Nataka kufunga kampuni baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa biashara, anayejua process anipe fasta. Haina deni na documents zote ziko okay. Naanzia wapi na naishia wapi? Karibuni
  6. mike2k

    Kugombana na wife akaamua kufunga vitu vyake na kuondoka je, ni lazima kuondoka na house girl?

    Habari wakuu mimi mgeni kidogo hapa kuhusiana na hili suala je ni lazima wife kuondoka na house girl pale inapotokea mmegombana?
  7. B

    Mtandao wa Jumia wafunga biashara yake nchini Tanzania

    Kampuni ya kuuza bidhaa mtandaoni JUMIA yenye branch zake mbalimbali Afrika leo tarehe 27/11/2019 imefunga ofisi zake ramsi, hata hivyo imebakisha kitengo kimoja kinachohusisha mauzo ya chakula pekee. Ukitoa ofisi za Tanzania pia wamefunga ofisi zao za nchini Cameroon, kwa madai kuwa ofisi hizi...
  8. J

    Mchungaji Msigwa: Waziri Mwita Waitara alikuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni pale Buibui kabla ya kuuawa Akwilina

    Mmoja wa watuhumiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa amesema katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa Mbunge wa Kinondoni katika viwanja vya Buibui alikuwepo pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Mwita Waitara. Baada ya kumalizika mkutano huo viongozi hao wa...
  9. J

    Waziri Jafo: Hakuna mtendaji kufunga ofisi leo ili watu wote waliochukua fomu waweze kuzirejesha. Hakuna uchaguzi duniani usio na figisu figisu

    Waziri wa Tamisemi mh Jafo amesema ni marufuku kwa mtendaji katika eneo lolote ndani ya JMT kufunga ofisi kabla wagombea watarajiwa hawajarejesha fomu zao labda kama mgombea huyo atakuja baada ya saa 10 kamili. Kesho na keshokutwa ofisi zitapokea mapingamizi na tarehe 7/11 rufani zitasikilizwa...
Back
Top Bottom