Naona mwamko umekuwa mdogo kwa watu kwenda kufunga line za ziada katika ofisi za mitandao, sio kwamba hatuwezi kwenda ila mambo yametinga jamani maana awamu hii ni kazi kazi kitu kinachonyima wengi muda wa kwenda hizo ofisi.
Ningependa kuwasilisha maoni yangu kwamba tunavyopiga *106# kuwe na...
Umuofia kwenu,
Huu ni mwezi wa kuchukua fomu, mtu yeyote kupitia chama anachokiamini anaweza kuchukua fomu ya kugombea urais, tofauti ni pale CCM walioamua kukinzana na katiba yao kuamua kumsimamisha mgombea wao huku wakizuia kujitokeza wengine wanaoweza kuleta upinzani, ambao baadhi yao...
Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano.
Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa...
Poleni na harakati za kila siku. Ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima wa afya.
Basi kama kichwa cha habari kilivyo mimi binafsi ninaona marehemu hakutendewa haki. Wakati jamaa amewekewa goti juu ya shingo yake na askari Nina imani kulikuwa na mashuhuda mbalimbali eneo la karibu.
Je...
Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza.
Wawakilishi...
JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo.
Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
Rais wa Brazil, Jair Bolsonar amesema kufunga mji ni kuufanya uchumi ufeli kwa kuwa hawatakuwa na hela za kuwalipa watumishi wa umma
Kwa muda mrefu rais wa Brazil amelaumiwa kwa kutochukua hatua ya kudhibiti #CoronaVirus kwa madai aliyosema kuwa ni mafua ya kawaida tu, aidha aliwahi kusema kila...
Yumkini hali si nzuri. Rais kafunguka.
=====
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli ameandika:
"Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na...
Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .
Lakini...
Shehe mkuu wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salum amewataka mashehe wote mkoani Dsm kuzingatia maelekezo ya wizara ya afya ya kuweka vitakasa mikono na maji tiririka na sabuni na watakaopuuza misikiti yao itafungwa.
Pia ukaaji wakati wa ibada uwe ni wa kuachiana nafasi kiasi cha kutopumuliana.
Aidha...
Wabunge wastaafu na wale watarajiwa wa CCM wamejianzishia mtaa wao huko Ununio na kuuita Bunge Btreet, miongoni mwao ni Mzee Kimiti, Mh. Foya wa Hai, Mh. Adam wa Muleba na Mh. Kippi anayetarajia kugombea Kawe.
Cha kusikitisha wabunge hawa wamefunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali...
"Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, imepokea zaidi ya maombi 650 kutoka kwa wafanyabiashara wakiomba kufunga biashara za maduka na hoteli za kitalii kutokana sababu mbalimbali.
Miongoni mwa sababu walizozieleza ni watalii kusitisha safari zao za kuja kutalii na kupanda Mlima...
Habari za jioni ndugu zangu, naomba kama kuna mtaalaamu wa kufunga GPS tracking za vyombo vya usafiri mfano boda boda na bajaji na magari namuomba tuwasiliane aje PM tuyajenge.
Angalizo: Sihitaji mwenye kampuni au mtu mwenye ofisi namtaka mtu aje nimwajiri mimi nina kampuni na nimepata tenda
Naibu waziri wa mifugo na uvuvi mh Ulega amesema ni marufuku kwa watendaji kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona.
Naibu waziri amesema hayo alipokutana na wafanyabiashara wa soko la ferry jijini Dar na amewataka kuzingatia masharti ya ugonjwa huo.
Source: ITV
KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020
Amesema, Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya Kidato cha 6, wanaotarajiwa kufanya...
Serikali ya Rwanda kupitia Wizara ya Afya imetangaza kuchukua tahadhari mbalimbali baada ya kutangaza mgonjwa wa Corona nchini humo.
Shule na taasisi za elimu ya juu zitafungwa kwa siku 14 kuanzia kesho. Kuanzia leo ibada zote zitafanyika nyumbani.
Wafanyakazi pia wametakiwa kubaki nyumbani...
Idhaa ya Kiswahili Ya Radio France International Wiki ijayo itafunga ofisi zake Tanzania na kuhamishia Nairobi Nchini Kenya.
Sababu Ni kushindwa kukubaliana Kuhusu mkataba mpya Baina ya RFI Kiswahili na serikali kupitia Shirika la utangazaji TBC baada ya ule wa awali Wa miaka kumi kumalizika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.