Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini
1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24
2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12
3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9
Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji...
Nitawapa mfano;
Maeneo mengi sana siku hizi yamefungwa kamera!
Tembelea MALL zote hukosi idadi kubwa ya kamera!
Lakini ajabu, Pamoja na wingi wa kamera lakini bado ripoti za wizi na udokozi zinaendelea pasipo watuhumiwa kupatikana!
Mazingira ya matukio mengi yanayoripotiwa ukiangalia video...
Kampuni ya Meriadian Bet imefunga baadhi ya akaunti za wateja wao kwa kile wanacho dai kuwa ni uhakiki wa akaunti kutokana na ulaghai wa wateja wao. Cha kusikitisha ni kuwa wateja ambao tumefungiwa na tunapesa zetu kwenye akaunti hizo licha ya kutuma vitu wanavyo vitaka imechukua muda mrefu...
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
PIA SOMA
= > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% ,
Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
Kesho ni finally ya kampeni za Urais, hivyo ningependa kusikia hasa kutoka kwa Mh. Lissu na hata wagombea wengine wa upinza.
Kwanza ainishe changamoto chache zilizopo na hapo hapo namna gani atazitatua changamoto hizo. Takwimu zitaboresha speech
1. Sheria kandamizi: akiwa Rais no Sheria zipo...
Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam,
Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo.
Tarehe 28/10/2020 ni siku ya kupiga kura ya kurejesha Uhuru uliopotea tangu awamu ya tano iingie madarakani miaka mitano...
Leo tarehe 22/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amewasili kisiwani Pemba kuhudhuria Mkutano wa Kufunga Kampeni Kisiwani humo katika viwanja vya Tibirinzi Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Katika msafara wake Maalim Seif...
Salaam Wakuu,
Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.
Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze.
Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread.
Stay tuned.
=====...
Habari zenu wana MMU nawasalimu
Nianze kwa kusema ndoa ni rizki, ndoa ni bahati, ndoa ni baraka sasa kuna mila na desturi za ndoa ambazo ni za kishamba katika jamii zetu ambazo bado tunazikumbatia bila maana yoyote.
Ipo hivi mwanzoni mwa mwaka huu kuna rafiki yangu wa karibu alidhamiria kuaga...
CCM wameanza kuondoka Zanzibar kimyakimya, wanasema mziki wa ACT-Wazalendo sio wakawaida, baadhi ya kauli ni kukifananisha Chama cha ACT-Wazalendo na ng'ombe maarufu anaejulikana kwa Jina la kipole, hana msalie mtume.
Wengine wakisema hawatokubali kufanywa kuni ndani ya Zanzibar kwani kuwalinda...
Kama unatarajia kufunga ndoa karibuni chukua nafasi ya punguzo la bei kwa safari za utalii lililosababishwa na na janga la CODID-19 kula fungate (honeymoon)kwenye mbuga maarufu duniani ya Serengeti. Tegemea ushauri wa kitaalamu kutoka kwa muongoza watalii mwenye uzoefu wea miaka 14 aliyeongoza...
Tabia ya kufunga funga Magari na kudai Tshs 50,000 hii hapa, jisomee.
Kwa wapenzi wa sheria, kuna kesi tamu hapa ya Vigu Trading Co. Ltd dhidi ya TANROADS, Yono, Inland Transporters Ltd (breakdown) na Mwanasheria Mkuu (kwa sababu ni kesi ya serikali)
Mshtaki lori lake liliharibika mbele kidogo...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea.
Mwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha Sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia...
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Wiki hii Serikali ya Rais Donald Trump imeishangaza ulimwengu kwa kuendelea na sera yake ya kuiandama China kwa kutoa muda wa saa 72 kufungua konseli kuu ya China mjini Houston, kwa kisingizio cha “kulinda taarifa binafsi za wamarekani na kulinda haki za ubinufu za wamarekani”. Wanaofuatilia kwa...
Mfano unaishi mji A ambao ndiko makazi yako na ndiko unapoendeshea shughuli zako za kila siku, kiasi kwamba watu wako unaoshirikiana nao kila siku wanapatikana Mji huo.
Pia, una makazi yako Mji B ambako huko ndio asili yako, wazazi, ndugu na jamaa wengine wanapatikana kwa wingi.
Utafunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.