kufungiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Ally Kamwe: Habari za kufungiwa sio za kweli TCRA washughulikie taarifa kama hii

    "Na mimi nitumie nafasi hii kuwaomba watu wanashughulikia mitandao ya kijamii (TCRA) washughulikie taarifa kama hii, kwasababu Unapotoa taarifa kama ile huenda una vyanzo, lakini madhara ya taarifa kubwa kama ile ni makubwa kweli kweli, ule usiku wa taarifa imetoka nilienda kukesha hospitali na...
  2. Waufukweni

    Ali Kamwe adai taarifa za kufungiwa ni tetesi tu!

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ali Kamwe amesema hajapokea taarifa yoyote ya yeye kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka, kwani bado hajapokea barua kuhusu suala hilo. Akizungumza kwenye mahojiano na Kituo cha Redio cha Wasafi FM Machi 07, 2025 Kamwe amesema hajui taarifa hizo...
  3. JanguKamaJangu

    Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko

    Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
  4. Waufukweni

    Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
  5. Mkalukungone mwamba

    Wastaafu waangua kilio kwa kufukuzwa na kufungiwa geti, nyumba za TBA

    Familia mbili za Wastaafu wa serikalini ambao walikuwa wakiishi katika nyumba za Wakala wa majengo (TBA) jijini Arusha wanakumbwa na hali ya sintofahamu baada shirika hilo kuwafurusha kwa kutoa vitu vyao nje kwa madai ya kushindwa kulipa kodi. Familia hizo zinadai ni takribani mwezi mmoja sasa...
  6. mdukuzi

    Washabiki wa mpira nchini ni vilaza, Arajiga amewahi kufungiwa mara tatu

    Sijui ni ukilaza ujinga au?? 2022 alifungiwa 2020 alifungiwa 2019 alifungiwa Tena kuna mechi kati ya Yanga na Azam aliwabeba Yanga akafungiwa Acheni ujinga
  7. mdukuzi

    Yanayosemwa vijiweni kuhusu kufungiwa kwa mwamuzi Kayoko

    Siku mbili kabla ya derby kulifanyika kikao kati ya Kayoko,afisa wa TFF na afisa toka GSM Bila kujua kulikuwa na mtu anawarekodi kwenye simu. Siku ya mechi kuna maamuzi ya utata yalitokea. Wazee wa Simba wajaja juu kuwa Kayoko aliwahujumu TFF wanawaita wazee wa Simba kuwa wanaharibu brand ya...
  8. Big Dy

    Tetesi: Azam energy drink kufungiwa

    Habari za mda huu wanajamvi, Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam. Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii kuwepo sokon sijui imeshamaliza watu wangapi mpka sasa.
  9. Nyarupala

    Nimechoka kufungiwa MITA ya maji na jirani yangu

    Hello waungwana! Ni sasa kama mwaka wa pili unaenda Niko na jirani yangu hapa kutokana na kuwa kwa Dar es Salaam kuwa ya mgao wa maji muda wote mwaka mzima, basi huyu jirani akiona maji yanatoka kazi yake ni kufunga MITA yangu ya maji ili maji yote yaende kwake. Ananisababishia hasara...
  10. Minjingu Jingu

    Mastar Yanga kufungiwa AVIC huku wakigombea Kombe la Shirikisho

  11. Mr Why

    Watumiaji wengi wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa

    Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji Watumiaji hao wamedai hawako tayari kutumia bidhaa za META na wengi wamefuta Application zake katika simu zao...
  12. D

    Adhabu wanayostahili Simba ni kufungiwa kucheza bila mashabiki

    Kwa uharibifu mkubwa uliofanywa na mashabiki wa Simba kung’oa viti vya Uwanja wa Benjamini Mkapa kipindi ambacho marekebisho mbalimbali yanaendelea kufanywa na serikali katika Uwanja huo, adhabu pekee wanayostahili Klabu ya Simba ni kufungiwa kucheza bila mashabiki kwa kipindi cha mwaka mmoja...
  13. GENTAMYCINE

    Naonya Mbinu Chafu isitumike hasa ile ya 4-4-2 ndani ya Vyumba vya Guinea leo, kwani Tutaumbuka vibaya na Kufungiwa

    Nasikia kuna Umafia umefanyika sasa kwakuwa sitaki Taifa Stars ishinde leo nawasanua Guinea ili FIFA na CAF wajue.
  14. D

    Tunafunga GPRS, tupo Mwenge

    Jamani wanajamvi kama wewe unahitaji kufungiwa kifaa cha kieletroniki katika chombo chako cha moto ambacho kitakusaidia kuangalia mahali ambapo chombo chako kipo kwa muda wowote tunaweza kuwasiliana. Lakini pia hata kama huna chombo cha moto ila unamfahamu mtu anayehitaji pia tunaweza...
  15. E

    Je nini sababu haswa ya mtandao wa Twitter / 𝕏 na telegram kufungiwa Tanzania?

    Mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania week hii wadau kwanini serekali inafanya hivi au ndio wanataka censorship? Hii imeleta picha kuwa Tz is against free speech
  16. Pdidy

    Kiboko ya Wachawi ashtakiwe arudishe pesa za watu, na afungwe iwe fundisho kwa wahuni wote wa aina hii

    Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako akitapeliwa wala kutaharika Tunakushukuru kwa yote ktk jina la mwanao Yesu Kristo alie hai Huyu Baba...
  17. JanguKamaJangu

    Waziri Masauni: Rufaa ya kufungiwa kwa Kanisa haijaja kwangu (la Mchungaji "Kiboko ya Wachawi")

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni ameulizwa juu ya kufungiwa kwa Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu kwa jina la Kiboko ya Wachawi, lililopo Buza Kwa Lulenge, amesema rufaa ya kufungiwa kwa kanisa hilo haijafika mezani kwake...
  18. GENTAMYCINE

    Mwamposa naona sasa baada ya Mpinzani wako na uliyekuwa ukimuogopa 'Kiboko ya Wachawi' Kufungiwa na Serikali, umenenepa ghafla

    Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani nasikia hata sehemu ya Waumini wako walikuwa wanaanza Kukukimbia na kwenda Kwake Buza.
  19. GENTAMYCINE

    Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
  20. M

    LATRA kampuni ya mabasi ya BM inastahihli kufungiwa kwa utapeli

    Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli. Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya...
Back
Top Bottom