Kwa mujibu wa barua ya Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura, Shirikisho la Soka Duniani limeondoa pia adhabu ya kifungo kwa Shirikisho la Soka nchini humo (FKF).
Baada ya hatua hiyo, wawakilishi kutoka FIFA na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) watatumwa nchini Kenya kwa ajili ya mazungumzo na...
Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani.
Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi vizuri kabla ya ujio wa Clatous Chama. Hivyo ni dhahiri kuwa Yanga haitatetereka kuliko Simba kwenye...
Hali hiyo inaweza kutokea ikiwa ni mwezi mmoja tu umesalia kabla ya kuanza kwa michuano hiyo Nchini Qatar kama Serikali ya Tunisia itaendelea kuingilia masuala ya soka.
Onyo hilo limetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya Waziri wa Vijana na Michezo wa Tunisia, Kamel Deguiche...
Wanafunzi wazembe ambao pia ni limbukeni wa mapenzi na maisha ya Dar, wameamua kufungua kesi kushitaki chuo cha sheria kwa kufeli masomo.
RUCO[RUAHA UNIVERISTY] UDSM[MLIMANI], SAUT ni vyuo vinavyotoa DIGRII kwa miaka 4 na vilivyobaki vyote ni miaka 3 ambapo pia kile chuo cha kanisa la MARTIN...
nilienda ttcl kuwaomba wanifungie internet ya kwenye zile nyaya za simu ili nipunguze gharama za hivi vifurushi ghali, kuna dogo namjua tangu 2020 yeye anatumia hii huduma hajawahi kuwa na habari na hivi vifurushi ambavyo sisi tunalalamika.
fundi aliniambia eneo langu huduma ipo ila vifaa kama...
Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba
Kwani ratiba ya international games haikujulikana kabla? wanahoji mbona Inonga hadi leo hajafungiwa?
Jenerali manara,wana yanga ni watiifu sana...
Habari za ndani kabisa nimepenyezewa kutoka kwa mdau wa masumbwi huko Uingereza!
Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba;
1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" . uchunguzi umebaini kwamba kiatu alichopewa hakikuwa na madhara yoyote, hata hivyo alipatiwa kabla ya siku...
Badda ya ajali ya leo 26-07-2022 huko Mtwara Shule nyingi sana zimepanga kuwapeleka wanafunzi study tour mikoa tofauti tofauti. Maandalizi na usafiri wanataka kutumia ni school bus ect
Binafsi nazipinga hizi safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa...
CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football
Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma alizozitoa kwa team hiyo inapokea wageni ambao Simba ilikua ikicheza nao champion league na...
Kwa wale ambao tulikuwa tunapakua software mbalimbali tulikuwa tunatumia sana hii kitu
nakumbuka muda fulani ilifungiwa, naomba msaada wenu wakuu baada ya kufungiwa tunatumia nini?
Kwa wale ambao hamkupata wasaa wa kusoma andiko la DIGALA lililomfanya afungiwe na TFF nimewawekea hapa ulisome halafu tuone kama kaonewa au ukweli mchungu umewauma "Tifua Tifua"
Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Mradi mpya wa Donald Trump wa mtandao wa kijamii umechangisha $1bn (£755m) kutoka kwa wawekezaji kabla ya kuorodheshwa katika soko la hisa.
Taasisi ya habari na teknolojia ya...
mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara
sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
Wadau,
Kwa wenye ufahamu naomba kujua ikiwa nataka kusafiri na line ya simu (sim card), nifanyeje ili niweze kukaa nayo nje ya nchi kwa muda mrefu bila kufungiwa.
Natanguliza shukrani
Kwa Tsh 77,000 tu!!
Unapata: Dish, Decoder HD, Cable, ( vifaa vyote ), kifurushi Cha family cha Tsh 29,900 na unapata fundi wa kukufungia bila kulipa gharama ya ziada!!
Ili kupata offer hii piga 0789476655 WhatsApp +255784378129
Offer hii ni kwa Dar pekee!!
Mengineyo yote kuhusu DStv Kama:-...
Ninanusa mpango wa kuanza kufungiafungia vyombo vya habari ambavyo vinakosoa serikali hii, lakini ili hilo lifanikiwe ni lazima serikali ya CCM ijifanye iko fair, ndiyo eti chama kilichukua hatua kwa gazeti lake.
Hii issue imesukwa kiustadi ili ije iwe fimbo ya kuvichapia vyomb vingine...
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
Jana nilimshuhudia Bernard Morrison akivua bukta yake baada ya ushindi na kubakiwa na gguo ya ndani.
Hilo suala la kusherehekea ubingwa kwa staili hiyo si la ajabu machoni mwangu hivyo hata kimjadala halikunistua sana. Kwa haiba ya mchezaji mwenyewe pia halikuwa la ajabu , wengi tunamjua BM23...
Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero!
Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma!
Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
Jambo wakuu!
Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Naomba niwatonye jambo moja la hatari linaloinyemelea soka ya Tanzania endapo TFF hawatachukua hatua zinazofaa kuepushia mbali hatari hii.
Mechi iliyopita kati ya Simba na Yanga ilishindikana kuchezeka baada ya uongozi wa klabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.