Kwa mujibu wa barua ya Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura, Shirikisho la Soka Duniani limeondoa pia adhabu ya kifungo kwa Shirikisho la Soka nchini humo (FKF).
Baada ya hatua hiyo, wawakilishi kutoka FIFA na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) watatumwa nchini Kenya kwa ajili ya mazungumzo na...