Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group anabainisha kuwa vyombo vya habari vya asili vinakabiliwa na hatari kubwa ya kufungwa kutokana na mabadiliko ya teknolojia.
Anaeleza kuwa mitandao ya kijamii imepokonya soko la matangazo, hali inayofanya redio na televisheni nyingi kushindwa hata kumudu...