kufungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Assassin

    Marekani: Atoka jela baada ya kufungwa karibia miaka 70, atoka jela akiwa na miaka 83

    Mzee Joe Ligon alikamatwa mwaka 1953 na kufungwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa kupata msamaha. Bwana Joe alikamatwa huko Pennsylvania kwa kukosa la mauaji ambalo mwenzake alifanya mauaji na kwa sheria za jimbo hilo, mtu akifanya mauaji hata wale walioshirikiana nao wanahukumiwa sawa na...
  2. beth

    Ni kosa kisheria kurusha nyimbo bila idhini ya mwenye nao. Mtu anaweza kulipa faini au kufungwa

    Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Ezekiel Kiongo amesema kumrushia mtu wimbo bila idhini ya mwenye nao ni kosa hata kama huuzi. Amesema ni kosa kurusha kazi ya mtu mwingine bila kibali chake. Amefafanua, "Kwenye Sheria ya Mtandao (Cyber Law) inakataza na inasema mtu anaweza kulipa...
  3. Miss Zomboko

    Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  4. B

    Jambazi akamatwa akitubu dhambi Kanisani

    Jambazi akamatwa akitubu dhambi Kanisani Pascal Mwakyoma TZA on April 13, 2021 Kijana aitwaye Abraham Nduba, mwenye umri wa miaka 26 kutoka kaunti ya Murang’a nchini Kenya amekamatwa na kutupwa jela miaka mitano baada ya kuungama kanisani kwamba ni mwanachama wa genge la uhalifu eneo hilo...
  5. samesame

    Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  6. Replica

    Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

    Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
  7. J

    Serikali kutumia ndege kumwaga viatilifu kuangamiza nzige Longido na Simanjiro, shule kufungwa!

    Waziri wa kilimo Prof Mkenda amesema kuanzia kesho wataanza kumwaga viatilifu vya kuuwa nzige katika wilaya ya Longidi na Simanjiro kwa kutumia ndege. Shule zitafungwa kwa muda wa siku nne na wananchi wanaonywa kutookota nzige na kuwala. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama! ------...
  8. J

    Kituo cha mabasi ya mkoani Mbezi Louis chakamilika, kufunguliwa rasmi 25/02/2021, Ubungo kufungwa rasmi Jumatano

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Kunenge amesema Jumatano hii ndio siku ya mwisho kwa kituo cha Ubungo kutumika na kuanzia Alhamis kituo kipya cha Mbezi kitaanza kutumika. Naye kamanda Mambosasa amesema wapiga debe wa Ubungo hawatakiwi kuonekana stendi mpya ya Mbezi na kwamba stendi hiyo...
  9. Superbug

    Chanel 10 tv ya CCM yazungumzia matumizi ya VPN baada ya mtandao kufungwa huko Mynamar

    Kumbe Channel Ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta. Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia mitandao na kufanya watu watumie VPN. Chanel ten wakumbuke kwamba hata serikali ya ccm ilifungia...
  10. Influenza

    Kufungwa kwa akaunti ya Trump: Twitter yapoteza USD Bilioni 5 katika soko la thamani

    Soko la Hisa la Twitter limeshuka kwa asilimia 12 baada ya Kampuni ya Mtandao huo wa Kijamii kuifungia akaunti Rais wa Marekani, Donald Trump Ijumaa iliyopita Kuifunga akaunti ya Trump iliyokuwa na wafuasi takriban milioni 88 kumefanya bei ya Hisa kushuka na kupoteza Dola Bilioni 5 (Tsh...
  11. kavulata

    Kilichomkimbiza Sven ni kejeli za kufungwa na FC Platinum Zimbabwe

    Wasiojuwa mpira walimkera sana kocha kwa kufungwa 1-0 ugenini, viongozi na mashabiki walimzodoa, kejeli na mtishia eti kwanini kafungwa. Baada ya kupindua kibabe meza na kupata matokeo aliwaprove wrong wale wote waliomsimanga na kutishia kumfukuza. Hivyo baada ya ushindi ule wa 4-0 akaona isiwe...
  12. Jaji Mfawidhi

    Mahoteli kufungwa kila mkoa: Uchumi wa Kati, utalii wa Ndani

    Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha. Blue Pearl iliypokuwa...
  13. Return Of Undertaker

    Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda. ===== Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe. Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, inawezekana ubongo kutolewa kichwani na kufungwa tumboni, kisha ukafanya kazi yake kwa ufanisi kama upo kichwani?

    Nasukumwa kuuliza swali hili baada ya kuona hii video ya huyu jamaa anayesema ubongo wake uko tumboni na unafanya kazi kama kawaida. Tumsikilize Kisha wataalam watupe elimu.
  15. Analogia Malenga

    Bei ya Saruji ilipanda kutokana na kufungwa kwa kiwanda cha Dangote

    Kiwanda cha Dangote kinachozalisha Saruji kilichopo mkoani Mtwara, kilisimamisha uzalishaji wa Saruji kwa takribani wiki mbili ili kufanya usafi na ukarabati wa kiwanda. Imedaiwa kuwa hali hiyo ilifanya bei ya Saruji ipae kiasi cha wananchi kulalamikia bei hizo. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius...
  16. Magazetini

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  17. J

    Kituo cha kupiga Kura kinaweza kufungwa kwa sababu ya Vurugu

    Kwa mujibu wa kifungu cha 60(1) cha Kanuni za Chaguzi za Taifa ( Uchaguzi wa Rais na Wabunge) endapo mchakato wa kupiga kura utaingiliwa au kuharibiwa na vurugu na bado kuna wapigaji kura hawajamaliza kupiga kura, Msimamizi wa kituo ataahirisha mchakato wa kupiga Kura mpaka siku inayofuata na...
  18. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko

    Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko kwa mvua inayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam. Hivyo, tunawashauri wasafiri wetu kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara. Wakifika Morocco wanaweza...
Back
Top Bottom