Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese
Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)
Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)
Posho kitako — Sh220,000 (siku)
Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)
Mkopo gari — Sh90M (5yrs)
Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)
Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho...