Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii.
Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu.
Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza...
Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali...
Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi.
Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue.
Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo...
Wakuu nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwa sasa Addis Ababa Bole International Airport
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.