Imeripotiwa kuwa mashine maalum ya VAR (Video Assistant Referee) iliyokuwa imewekwa Abuja Nigeria kwa ajili ya kusaidia waamuzi wa mchezo wa play off wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kati ya wenyeji Nigeria dhidi ya Ghana imeibiwa uwanjani hapo.
Mchezo huo ulimalizika kwa sare bao 1-1 ambapo faida...
Yule kijana sidhani kama ame recover vizuri kuchea mechi ngumu hivi, kama unampenda sana subiri mechi za kmc au geita gold umuweke huko siyo mamechi ya kimataifa haya
Mr pablo kuwa serious bana kumbuka Cecafa zone wanaitegemea simba sc
Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika soka kama tulivyo Tanzania.
Kwahiyo, timu zitazoifunga hii timu ya USGN nyumbani na ugenini, ndio...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote iliyobaki ili kufuzu kushiriki kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.