kugawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Nabii nakushauri acha kugawa passport size kwa wake za watu, utaingia dhambini

    NABII Kwako Nabii, jana niliitwa ubungo nikahisi ni kikao cha amani Kufika nikakuta rafiki yangu kafyumu hatari. Kuuliza nini shida akanisikitisha sana. Hapo nyuma aliwahi kuniambia mkewe anasumbuliwa sana na msg anaitwa aende kuombewa nabii saa 12 kisa kamuota kuna wanawake wawili...
  2. benzemah

    Siku 14 Kutumika Kugawa Vitambulisho vya Taifa

    Unahitaji kitambulisho kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) na una namba pekee? basi mamlaka hiyo imeanza kugawa vitambulisho milioni 18.6 kwa Watanzania wenye namba, kazi itakayofanyika kwa siku 14. Ugawaji wa vitambulisho hivyo, utahusisha wananchi katika mikoa saba ya...
  3. C

    Tunaposema kuwa mechi zetu muhimu ni za Dar tu kwahiyo zote za ugenini tunaenda kugawa points za bure?

    Na nakumbuka msemaji wenu Ali Kamwe na hata mashabiki wenu oya oya kabla hamjaenda kuzichezea 3 kwa 0 kwa CR Belzoud FC walisema na nukuu zipo kuwa wao namaanisha Yanga sc ndiyo mabingwa wa kushinda mechi za ugenini tofauti na timu nyingine ikilengwa simba sc ambayo haina rekodi hiyo kivile japo...
  4. B

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili. Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
  5. Eli Cohen

    BVB kazi yao kugawa wachezaji tu huku wakizoea kuwa vibonde wa Bayern.

    Yani tangia 2011/12 bayern ndio wanabeba tu kombe hadi leo huku hawa dortmund kazi yao ni kuuza vipaji kwa gharama mno bila ya kuinvest vizuri katika team yao. Kwa hio wao sasa wamekuwa soko la kutengeneza wachezaji kuhusu ubingwa na historia hilo kwao hawalijui tena. Walipaswa kuwa european...
  6. peno hasegawa

    Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia. Rais...
  7. R

    Kamati ya Ulinzi na usalama wilaya na Mkoa ina mamlaka ya kisheria kugawa ardhi?

    Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi? Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
  8. S

    Kibaka akiiba kuku, mnavisha tairi na kumchoma, Mtawala akiuza au kugawa maliasili za nchi kiholela, mnamtetea na kutaka aheshimiwe!

    Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na akisemwe eti amekoswa adabu! Kibaka unaweza mtia kiberiti kwa hofu kesho anaweza kuiba na kuku...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Festo Mariki Ahitimisha Ziara na kugawa Milioni 29 Katika Kata Zote 58 za Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya kutembelea Kata 58 za Mkoa wa Katavi katika Kata ya Majimoto na Kasansa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya...
  10. Ricky Blair

    Kugawa gawa Mikoa Tanzania

    Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo. Na kuna kila dalili...
  11. chiembe

    Kisheria, serikali ya kijiji inaweza kugawa chini ya ekari 50, Mpina alitoa rushwa akagawiwa ekari 1000?

    Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50. Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa zaidi mara 20 kuliko Ile ambayo Kijiji wanaruhusiwa. Ni wazi kwamba Mpina alihonga viongozi wa serikali...
  12. Kavimbe

    Ugawaji wa Mirathi ya Kiislamu

    Jinsi ya kugawa Mirathi ya Kiislamu Katika somo letu hili tutawatizama wale warithi wa msingi jinsi wanavyapata viwango vyao vya kurithi hawa huitwa warithi wasiozuiwa na yeyote. Warithi wa msingi ni Baba, Mama, Mke/Wake, Mume, watoto wa kike na watoto wa kiume. Somo hili ni marejeo ya Kuraani...
  13. Robot la Matope

    Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  14. peno hasegawa

    Maafisa maendeleo ya jamii walisomea wapi kozi ya kugawa mikopo ya Halmashauri?

    Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu. Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo? Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali? Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
  15. Mr Pixel3a

    Pasaka hii tukumbuke kuwasaidia wahitaji, yatima na wajane

    PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema. Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema. Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
  16. Stephano Mgendanyi

    Mary Masanja Achangia Milioni 21 na Kugawa Mitungi ya Gesi 700 kwa Wanawake Wajasiliamali Wadogo wa Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MARY MASANJA ACHANGIA MILIONI 21, AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WADOGO MKOA WA MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Shilingi Milioni 21 na amegawa mitungi ya gesi 700 kwa wanawake...
  17. Sky Eclat

    Pochi tatu za kugawa mshahara wako ili kuweka mipango ya maisha

    Kipato cha walio wengi ni mshahara, hata kama unafanya biashara ni muhimu kujiwekea mshahara wako, hii itakusidia kuiheshimu faida na kutokuigusa. Matumizi ya muhimu katika mshahara ni chakula, kodi ya nyumba na usafiri. Haya yanatakiwa kutolewa katika mshahara kabla hujapanga mipango yeyote...
  18. A HUMBLE LEADER

    Serikali iache kuwadhalilisha walimu kwa kugawa vishkwambi, waboreshe maslahi yao ili wanunue wenyewe!

    Serikali ya CCM Acheni kutudhalilisha makada waaminifu kama sisi KWA hoja za hovyo zisizo na afya KWA Taifa! Hivi mnafikiri vishkwambi KWA walimu;- 1.Vitaongeza maslahi yao ya kazi!? 2.vitawapa unafuu wa mfumuko wa bei ya chakula na mahitaji mengine!? 3.vitawapandisha madaraja wale...
  19. CK Allan

    CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
  20. Keynez

    Kwa kugawa wanyama wetu tumeuza upekee wetu. Tumebaki na nini?

    Moja ya jambo muhimu katik biashara ni upekee wa bidhaa yako. Watu hawaji kununua kwako bidhaa au huduma kwa sababu ya huruma, ni kwa sababu una kitu wanachohitaji na unakitoa kwa ubora kuliko washindani wako. Kwa miaka kadhaa huko nyuma Tanzania tumetokea kugawa wanyama wetu kwa mataifa...
Back
Top Bottom