Mheshimiwa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hongera Kwa kazi kubwa unayowafanyia wakazi wa Dar.
Naomba upitie barabara kutokea Magomeni inayopita Tandale Ili iunganishe na barabara ya Shekilango, kuna uharibifu mkubwa wa mazingira. Barabara nzima imegeuzwa dampo ya magari...
Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo.
Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo.
Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu...
Baada ya JPM kuharibu uchumi wa nchi, hotel nyingi ziligeuzwa hosteli za kulala watoto wa shule, badala ya kuingiza mamia ya madola.
Ngurdoto imerudi.
JPM alihakikisha anaziua hotel nyingine sehemu mbalimbali nchini, lakini akawa bize kujenga pagale la nyota tano kwao chato
===========...
Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata...
Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga madarasa.
Cha kusikitisha kuna mama anaitwa Mariam Chilangai yeye anakaimu ukuu wa Chuo sasa kwa miaka...
WANAWAKE MSIKUBALI KUGEUZWA SHAMBA LA BIBI!
Anaandika, Robert Heriel
Tuwaelimishe binti, Dada na Mama zetu ingawaje tunajua hakuna kazi ngumu kama kumuelimisha Mwanamke hasa katika kumwambia ukweli, kwani siku zote ukweli unauma. Wanawake wengi hawapendi ukweli Kwa sababu hawapendi kuumia...
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu...
Habari wanajamvi
Katika kitabu chake cha "My life,My purpose"ndugu mkapa aliyepata kuwa rais wa Tanzania katika kipindi cha miaka 10(1995-2005) ameelezea katika sura ya 11 aliyoiita "reforms and yet more reforms" swala la vyeo mbalimbali vya serikali kufanywa kuwa vya kisiasa wakati vinampa mtu...
Kichwa cha habari chajitosheleza
Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa.
Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.