kugombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Katibu Mkuu wa NLD Doyo Hassan atangaza nia ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu 2025

    Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiyo katika uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu, huku akiahidi kuleta mageuzi katika sekta mbalimbali nchini. Kupata...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

    Wakuu Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No Election? == Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Romanus Mapunda, ametangaza azma...
  3. The Watchman

    Pre GE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
  4. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 CCM Ruvuma yatoa pongezi kwa Viongozi waliochaguliwa kugombea Urais katika Uchaguzi ujao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimefanya mkutano maalum na kupongeza azimio la kuwaunga mkono viongozi walioteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi ujao. Mkutano huo umefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho, ambae alikuwa...
  5. Waufukweni

    Tidjane Thiam aukana Uraia wa Ufaransa ili kugombea Urais wa Ivory Coast

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba. Mwaka 2023, Thiam alichaguliwa kuwa kiongozi wa PDCI moja ya vyama...
  6. Carlos The Jackal

    Hivi Rais Samia kwenye harakati zake za siasa ndani ya chama aliwahi kuwa na ndoto ya kugombea Urais?

    Kama hakuwahi maana yake Urais huu ni matokeo ya Mwenyezi Mungu, kwamba Iliamuliwa aipitishe Nchi Kwa kipindi fulani, na hii pengine ilichagizwa na Upole, Unyenyekevu, Uanaharakati wake kuhusu Wanawake, nafasi alizowahi kushika kama Mwanamke. Kwa Lugha nyepesi, miaka kumi ya kuwa katika Ofisi...
  7. GENTAMYCINE

    Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  8. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Njombe: Rais Samia achangiwa zaidi ya milioni 2 za kuchukua fomu za kugombea urais

    Ikiwa ni wiki moja imepita tangu chama cha mapinduzi CCM kimpitishe Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya chama hicho na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea Mwenza kwa nafasi ya Makamu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Maelfu ya wafuasi wa chama cha mapinduzi pamoja na Makundi...
  9. B

    Pre GE2025 Tamko zito la vijana CCM wa vyuo vikuu waunga mkono Rais Samia na Dkt.Mwinyi kugombea urais 2025

    24 January 2025 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Godbless Lema: Mbowe alitaka kugombea Urais 2025

    Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025 Soma, Pia: Godbless Lema: Uchaguzi 'huru na haki', umeongeza heshima kwa Mbowe
  11. kaputula

    Samia kapitishwa kimakosa kugombea urais. Katiba ya CCM haikufuatwa

    Kwanza tuelezwe na Nchimbi na timu yake zile shilingi millioni Samia alikua anachangiwa kuchukua fomu ya chama kugombea kuteuliwa kugombea urais zimeenda wapi. Hilo ni jambo linaonyesha kuna taratibu za chama ukitaka kugombea uteuliwe kua mgombe urais. Nchimbi ameongoza uhuni kwa kukiuka...
  12. Z

    Pre GE2025 Wamekubaliana; Mbowe Mwenyekiti wa Chama Lissu atapewa nafasi ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

    Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema. Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
  13. Sir John Roberts

    Pre GE2025 Wenye Ndoto za Kugombea Urais Tanzania anzeni kupiga mahesabu ya mwaka 2040, Baada ya Samia anafuata Dkt. Nchimbi labda mambo yaharibike njian

    Habari ndio hiyo Samia kumpendekeza Emanuel Nchimbi kuwa makamu wake haijaja kwa bahati mbaya. Mipango imeshapangwa na imepangika vyema.
  14. L

    Maandamano Makubwa Kuwahi Kutokea Kufanyika Nchini kote Kuunga Mkono Uteuzi wa Rais Samia Kugombea Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Hakukaliki wala wananchi hawataki kabisa kutulia .wananchi wamegoma kabisa kusubiri muda wa kuchukua Fomu ufike, wananchi wamegoma kabisa kujizuia furaha zao zilizo jaa katika vifua vyao, wananchi wameshindwa kabisa kuvumilia na kusalia majumbani mwao kuendelea na kazi...
  15. L

    Mitaani Hakukaliki . Wananchi walipuka kwa shangwe na Nderemo baada ya Kupitishwa kwa Rais Samia Kugombea Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Ni shangwe , Nderemo,vifijo na vigelegele huku mitaaani baada ya kupitishwa kwa jina la Rais Samia kugombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu. Wananchi wamejaa raha ,furaha,tabasamu na matumaini makubwa sana...
  16. W

    Tupo na mama mpaka 2035, Kwa mara ya kwanza anaenda kugombea urais 2025, mara ya pili 2030, awamu ya sasa haihesabiki

    2025 ndio uchaguzi rasmi wa kwanza kwa mama kugombea urais 2030 itakuwa ni awamu ya pili, Wajumbe wa CCM kwa kauli moja hawana tatizo lolote kwa Samia Suluhu Hassan kuwania tena nafasi katika uchaguzi wa 2030 Awamu ya sasa haihesabiki kwasababu ni jukumu lililomlazimu aliwajibikie kama makamu...
  17. Carlos The Jackal

    Tuhuma za Mtoto wa Biden , zilichangia Kwa asilimia Kubwa sana BIDEN kuzuiwa Kugombea Urais ! Ni vipi Hapa kwetu Tuhuma anazotoa LISSU!!

    Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo? Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko. Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake...
  18. Z

    Pongezi kwa Rais dkt Samia kwa kuchaguliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM 2025/2030.

    Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030. Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu. Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
  19. Wagumu Tunadumu

    Je inawezekana mtu ambae aliwahi kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwenda kugombea urais huko zanzibar?

    kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona. Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
  20. Cute Wife

    Pre GE2025 Watu wenye ulemavu wamchangia Rais Samia milioni 1 ya fomu ya kugombea Urais 2025

    Wakuu, Kuna kituko cha kufungia mwaka huku :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Pia soma: LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Watu wenye uhitaji Maalumu leo wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa...
Back
Top Bottom