Mbowe kwenye hotuba yake, akielezea kuwa hawezi kuwaachia watu wengine waongoze chama, baada ya yeye kuwa mwenyekiti kwa miaka 21, alisema kuwa Mtei aliachia umwenyekiti wa chama alipofikishia umri wa miaka 68. Halikadhalika, Bob Makani naye aliachia uongozi wa chama alipofikisha umri wa miaka...
Habari za chini chini ni kuwa wajumbe wengi wanakubaliana kwamba hakuna mwingine atakayeweza kupeperusha bendera ya kuwania Urais zaidi ya mwamba. Hii inatokana na ukomavu wa kisiasa anaozidi kuuonyesha.
Maridhiano ni process.
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .
Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia...
Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .
1.Mjasiri
2.Mtu mwenye busara
3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .
Upinzani mtuandalie mtu huyu
Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama?
Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
Ibara ya 40(4) ya Kiswahili.
Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea...
ili walau kiongozi huyo abaki na heshima aliyonayo hivi sasa aliyoijenga kwa muda mrefu sana, lakini pia kuepuka kufilisika uzeeni maana uchaguzi ni gharama sana.
lakini pia kuepuka kuaibisha ndugu, jamaa, marafiki na chama husika kwa kushindwa vibaya kwa fedhaha uchaguzi ujao. na zaidi sana...
na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,
duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili...
Ndugu Tundu,
Nakuandikia barua hii ya wazi, kwa afya na mustakabali wa taifa letu na hali ya kisiasa ilivyo sasa nakusihi uachane na wazo lako la kugombea urais tena mwaka ujao!
Na badala yake nenda bungeni ukatusaidie kuliamsha bunge letu ambalo linaonekana limekufa na ndio chanzo cha miswada...
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa CHADEMA nafasi anayoishikilia kwa sasa pamoja na nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia chama...
Ki ukweli kutokana na uhuni unaofanyika kwenye uchaguzi mkuu hasa wizi wa kura nimeapa kutokuja kupiga kura tena.
Mimi nimpenda demokrasia kwamba napenda nione nchi hii inakuwa na utaratibu mzuri kuruhusu hata upinzani kuongoza nchi.
Kwa mfumo huu wa uchaguzi naona Tundu Lissu ana uwezo wa...
Ndugu waheshimiwa mabibi na bwana Mimi Kama Kikwava nimeona yafuatayo kwenye siasa za chadema
1. Kuna mazingira ya kimgogolo Kati ya mwenyekiti wa chadema na makam wake ambapo wao wenyewe hawataki kuyaweka wazi.
Tunaiomba serikali iwasuluhishe hawa watu wanakoenda siyo kwenyewe
Mfano ifuatayo...
Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili...
Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya.
Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milioni.
Tangu...
Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu.
Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi tajiri duniani. Kinacho kosekana kwetu ni viongozi wenye maono na wazalendo.
Baada ya kumchunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.