Wakuu
Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No Election?
==
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Romanus Mapunda, ametangaza azma...