Nimefuatilia sehemu Mbalimbali yanapopatikana madini ya historia ya Mhe. RAIS, sijapata sehemu amewahi kugombea akapigiwa kura na kushinda. Naomba anayejua kama amewahi kushinda Uchaguzi atushirikishe.
Kama ajawahi kushinda, Je wapo Marais wengine walioingia madarakani kidemokrasia ambao hakuna...
Wakuu habari zenu.
Samahani naomba kufahamishwa utaratibu wa kuchukua form ya kugombea nafasi ya Spika iliyoachwa wazi na Job ndugai kupitia chama cha Mapinduzi - CCM upoje?
Form zinaanza kutolewa lini , na je mtu yeyote anayejiona ana sifa na ni mwanachama wa CCM anaweza kugombea ...
Kama tunahitaji Maspika goigoi wa kuburuza wako wengi sana. Lakini kama tunahitaji Spika imara wa kuisimamia serikali kwa kumsaidia Rais kukamilisha kazi basi hawa walazimishwe kuchukuwa fomu kwa nguvu wapende wasipende:
1. Joseph Butiku
2. Kassim Majaliwa
3. Palamagamba Kabudi
(wazungu...
Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Zanzibar Juma Duni Haji amejiuzulu nafasi hiyo, ili kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa ikishikiliwa na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia Februari 17 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Duni maarufu kama ' Bob...
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
Bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao ametangaza nia ya kugombea urais wa nchi hiyo mwaka 2022 ili kupambana na umasikini wa nchi hiyo
Pacquiao aliingia kwenye siasa mwaka 2010 ambaye alichaguliwa kama Seneta amesema yuko tayari kuchuana na uongozi ulioko madarakani
Ametangaza kuwapelekea suluhu...
Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru
PIA, SOMA:
CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025
News Alert: - CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na...
Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama.
Mama shituka mapema you will thank me later.
PIA, SOMA:
- Gazeti la...
Mfahamu mgombea nafasi ya mjumbe wa Baraza la Kitaifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO) mkoa wa Dar
ES SALAAM Bi. Jane Magigita, Mwaka 2014 alitunukiwa tuzo ya MARTIN LUTHER KING AWARD kwa kupigania haki za kisheria za Wanawake.
Tuzo hiyo ya haki ya Dk. Martin luther king, Jr...
Tanzania ni muungano wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar. Hilo halina ubishi kabisa. Pia ni kweli Zanzibar tunacho chama cha soka yaani ZFA.
ZFA ni mwanachama wa CECAFA NA CAF lakini wamekataliwa kuwa wanachama wa FIFA KWA SABABU SIO NCHI HURU.
Kwa kuwa FIFA wameamua hivyo kutokana na...
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka ofisi za TFF , Hata hivyo kabla ya kukabidhiwa fomu yake Kubenea alilalamika kwamba kulikuwa na njama za kumchelewesha makusudi.
Kuna Taarifa kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Simba Swedi Nkwabi aliyemkimbia MO pamoja na Mamluki Ntahilaja anayetajwa kutoka Yanga leo wameonekana kwenye ofisi za TFF kwa kile kinachodaiwa eti kumchukulia fomu "bilionea" Karia ili aendelee kutafuna hela za TFF.
Swali ni hili: Wamelipwa nini...
Ni swala la demokrasia tu.
Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti.
CCM ingebadili utamaduni wake ili kutoa fursa kwa wastaafu kuendelea kasaidia kukiongoza chama, hii inawezekana...
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.
Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.
Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma.
Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four.
Ndugu zangu ni ushauri tu.
Ninyi...
Wakati akihojiwa na Mtangazaji wa Efm Radio, Bwana Wallace Karia amesema ni wazi kwamba mwaka huu atagombea tena nafasi ya Urais wa TFF.
Amesema atafanya hivyo ili atekeleze mambo aliyoongeza kwenye Ilani yake na mengine mapya aliyoanzisha.
Je, KARIA ANASTAHILI NAFASI NYINGINE?
Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.