Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo?
Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko.
Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake...
Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030.
Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu.
Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
Mitandaoni watu wote wanaonekana kutokukubaliana na Mzee Wasira 80yrs kuendelea kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Its like siyo maono ya wana CCM kuwa na viongozi hawa tena kwenye ngazi muhimu kama hizi kwani wanaleta mkwamo wa fikra kwa Gen Z ndani ya chama.
Ushukuriwe utaratibu...
Hivi kosa lipo wapi mbona lisu ameonekana kafanya makosa makubwa kuchukua uamuzi wa kugombea Uwenyekiti wa chama..?
Basi Mwenyezi Mungu yeye anaja nani anatakiwa kuwa kiongozi wa hicho Kikoba Cha Mr FAM
Yaani Mimi nikuona Lisu ni kama namuona Mkapa, ni kama namuona Sokoine Moringe, Jpm
Husasan wa Media za hapa Tanzania !!.
Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU .
Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?.
Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.
“Kuna kundi...
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha.
Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake wakifukua makaburi kumleta mwenye jina lake.
Kila anachikifanya Makonda pale Arusha ni maandaluzi ya...
Salaam wana Jamvi,ninavwatakieni jumapili njema yenye baraka tele.baada ya kusema hivo,hebu nirudi kwenye mada yangu.kumekuwa na shinikizo kubwa sana la watu kutaka chadema wa badilishe kifungu kwenye katiba Yao kina cho ruhusu mtu kugombea nafasi yoyote bila ukomo mpaka wanachama watakaposema...
Godbless Lema amesema kwamba John Heche kakubali kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara. Heche bado hajaongea chochote.
Kwa maoni yangu, Lissu angejikita katika kujiimarisha katika kugombea nafasi ya urais (japo asingeshinda).
Hata watu wake wa karibu wanasema Lissu ana nguvu sana nje ya chama kwa wananchi wa kawaida ambao wanapiga kura za urais. Kwa nini aliamua kujidhoofisha kwa kugombea Uenyekiti wa chama...
Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI.
Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,
Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini...
Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na performance baada ya uchaguzi.
CHADEMA kuwa inafanya mabadiliko ya uongozi mwaka mmoja kabla ya...
Wakuu Salaam sana!
Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini hakuelezea ni hoja zipi zimemsukuma agombee tena nafasi hiya zaidi ya kutoa historia alikokitoa chama ...
Habari Wakuu!
Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti.
Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
Mbowe kwenye hotuba yake, akielezea kuwa hawezi kuwaachia watu wengine waongoze chama, baada ya yeye kuwa mwenyekiti kwa miaka 21, alisema kuwa Mtei aliachia umwenyekiti wa chama alipofikishia umri wa miaka 68. Halikadhalika, Bob Makani naye aliachia uongozi wa chama alipofikisha umri wa miaka...