GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya baba yako, lazima watapata laana la kimichezo.
Hapa mbwa ameifuata TFF hadi msikitini. Wacha...
Ukubwa wa Simba SC haujai hata kiganjani ukilinganisha na Yanga SC.
Nasema haya nikimaanisha namna ambayo Yanga ilivyo more influencial kuliko Simba.
Kama Simba ikigomea mechi kuna uwezekano mkubwa sana rungu la kukatwa point likàwashukia kwasababu hawana watu makini wa kutafsiri kanuni za...
Binafsi naona tatizo la baadhi ya watu kugomea chanjo limesababishwa na serikali yenyewe na ( viongozi wa dini). Kwa kawaida kunapotokea upotoshwaji wowote kwa makusudi au kwa Bahati mbaya utakaofanywa na Kiongozi wa serikali. Kinachofata ni uwajibikaji. Kwa kuwajibishwa au yeye kujiwajibisha...
Wanabodi,
Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.